Nini msimamo wako kama mtanzania. Serikali,mbili au tatu


Si unaona hapo? Underline ya kwanza kama inapingana na underline with red vile!
Hiyo red unaposema benki ya EAC itakuwa haina effect, kivipi?
Kwahiyo hii bot ya sasa inaeffect kwa Zanzibar? Effect gani hiyo?
 
Si unaona hapo? Underline ya kwanza kama inapingana na underline with red vile!
Hiyo red unaposema benki ya EAC itakuwa haina effect, kivipi?
Kwahiyo hii bot ya sasa inaeffect kwa Zanzibar? Effect gani hiyo?

nimesema eac bank haitakuwa na effect kiuchumi kama ilivyo bot haina effect kiuchumi kwa znz. maana kazi ya bot sio kugawa pesa bali kumonitor pesa .zikitoka nje hupita pale kuingia nchini na kulipa hivyo hvyo.zanzibar hawataki hilo hasa cuf maana wanajua tanganyika ikiijua znz vizuri itajiona inajinyonya yenyewe tanganyika maana zanzibar kiuchumi na maendeleo ya jumla imeizidi tanganyika.na hizo ni data za bot.
 

Si unaona hapo? Kama unaongelea ushindani wa uwingi wa vyanzo vya madini vile!
Kivyanzo, Tanzania bara iko juu! But kama unavyosema mtu wa kijini hafaidiki lolote hapo, naweza nikasema ni kutokana na Ukubwa wa Tz bara + ulafi wa viongozi wake!
Hii ni tofauti na Z,bar ambako:
1 hayo madini hayajaanza kutima!
2 udogo wa eneo!
Hii ya kuhusu ulafi hii yategemea, Haina uhakika!
:focus:
Serikali tatu kwa mtazamo wangu nahisi ni bora kuliko hizo nyengine!
 

Mh! Hiyo ndio sababu kweki? = wakizikula hela asitambue mtu yoyote!!!!!
 

ni hizi serikali linatakiwa moja, pamoja na ukubwa ya nchi yetu nao wnanchi wanatakiwa kujituma kuzalisha,watu wasayansi wabuni technology, wa mashambani waongeze ufanisi na kulima sehemu kubwa kila sekta ipanuke ndio nchi inaendelea kutegemea gesi pekee au mafuta kutuendeleza ni kujidanganya na ni maneno ya wanansiasa wenye uhakika wa kuwa madarakani maana wanajua wataingia mikataba na familia zao zitaneemeka sio nchi.
tatizo sio ukubwa wala udogo bali ni uchapaji kazi, china ni kubwa sana inaendelea kwa kasi sana,burundi ni ndogo sana na wanakufa njaa,visiwa vya commoro masikini sana lakini india na usa zilivyo kubwa zinaenda kwa kasi zaidi. hivyo hivyo na nchi ndogo kama finland inaendelea kwa kazi angali nchi kubwa zinakuwa masikini.hivyo taifa dogo linaweza endelea kuliko kubwa nalo kubwa hivyo hivyo kikubwa ni uwajibikaji wa wananchi husika.
 
Tatu au moja basi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
lakini mkuu wa kaya rais obama anakuwa kama amir jesh mkuu wa majesh yote marekan, Hao magavana hawana hyo hadhi..lakin katika mfumo huu wa serikal tatu hapa tanzania kila nchi inakuwa na rais wake na ni amir jesh mkuu(kama wakiwa na mamlaka kamili) na katika misimamo ya urais na serikali yake leo wanaweza kuwa hv kesho unakuwa vile,
imagine hapo baadae serikali mbil may tanganyika na znb wanatofautiana kimtazamo na kuamua kuivamia tz au vicevesa,hapa namaanisha kama kweli tuna nia ya dhati ya maendeleo basi tueleke serikali moja yenye tawala za majimbo kama zamani tulishakuwa na 2 na kuiua tanganyika yetu
 

hiyo nzuri. suluhu ni serikali moja.local govement inaweza kujitanua mpaka zanzibar maana kuna mikoa 5 kule wala hata hakuna haja ya majimbo.
 
Ni MBILI tu! Tusibebeshwa mzigo wa tatu tumechoka!
Mbili umetuelemea tatu tutaiweza wapi?
 

Kila mtu na yake
 
Naombeni mawazo yenu kwa upande zote,faida zake na hasara zake kwa manufaa ya wananchi
 
Hivi kwa nini watu wagumu sana kuelewa?
Serikali mbili;
SERIKALI YA TANGANYIKA
SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR

Sasa kelele zaidi za nini? hapo si kila mtu kivyake au???
 
Serikali 1 ya JMT au 3- JMT, Tang na Zanz ndio mpango mzima; otherwise kila mtu kwao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…