Nicolas J Clinton Gabone
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 879
- 491
Katina ndo kifaaa gani mkuuTunachotaka watanzania ni 😡Katina mpya na siyo serikali mpya sasa nashanga hili la serikali ya tatu imefuata nini
Nimi nampongeza sama JK lea hotuba yake ya karne ametueleza hasara za serili tátu na faida za serikali mbili. Kwamba mbili changamoto zake zinazungumzika na gharama zake ní nafuu sana ukilinganisha na serikali tátu.
[emoji654]
[emoji654] Bora nini kati ya serikari mbili au serikali tatu?? Uchambuzi naomba ubase kwenye hoja za mifano faida na hasara na si ushabiki wa vyama
[emoji841] NB tumia uzi huu kutengeneza mitazamo chanya katika watu.
Points zako ni zipiBora serikali mbili, ya Tanganyika na ya Zanzibar.
Hatari kwa afya ila Mi nataka elimu bhana potelea mbaliUtaitwa mchochezii!!! Hayaa [emoji16]