Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Ujui msingi? Msingi ni CCM ni mafiii💩💩💩💩... kipindupindu akitambui mipaka ya gereza wala magonjwa haya tambui bunduki na kuta za jela .....hivyo ni upumbavu kufanya uchafu tukidhani ni hekima ya iwapasayo wafungwa ....usafi katika nchi ni kitu no 1 kwa taifa lisilo ongozwa na wapumbavu ndiyo maana JPM alikwenda kutoa somo la kielelezo la kufanya usafi mitaroni ...kama ni adhabu kwa wafungwa zipo adhabu nyingi na kali zinazo weza kufanyika nje ya UCHAFU WA MIKOJO NA MAVIII kwenye vituo vya polisi na magereza ...kuhusu hali ya baadhi ya magereza na baadhi ya vituo vya polisi, ambavyo mahabusu na wafungwa wamekuwa wakijisaidia kwenye ndoo badala ya vyoo rasmi.
-
“Huu utaratibu faida yake ni nini? Au ni sehemu ya adhabu kwa wafungwa? Kuna kiongozi mmoja aliwahi kuzungumzia suala hili mwaka jana akisema jambo hilo lifanyiwe kazi, si sahihi watu kujisaidia kwenye ndoo. Naomba nisaidiwe msingi wa watu kujisaidia kwenye ndoo ni nini? Yaani ilikuwaje ikapangwa hivyo?”