Well, mjadala unaendelea vizuri!! M-shaurini MkamaP aache uhuni wa Nansio na aanze kuongea vitu vya maana!!
Ofkoz wapo watu wanabeba boksi na wame-invest bongo kwa kununua madaladala, nyumba n.k na wanazifaa sana familia zao kupita kama wangelikuwa pale pale bongo!! Lakini pia kuna wabongo huku mtoni ambao ni wajasirimali, kuna watu wana own gas stations, staffing agencies, group homes, restaurants, cleaning services, touring services, e.t.c......pia wapo ma-engineer, accountants, doktas, nurses, walimu kuanzia high school mpaka 'versity, madereva wa treni na mabasi, bila kuwasahau waliojiajiri kwa kuendesha ma-18 wheelers, e.t.c!!! Kama alivyosema BAK, MkamaP acha ku-generalize juu ya watu wanaoishi nje ya Bongo, tengeneza convincing argument ya kwanini watu warudi bongo na sio kukandia juu ya vitu usivyovijua au kuvielewa vizuri!!!
Nyongeza....kuna dada mmoja mbongo hapa ninapoishi, anafanyakazi ya $13 kwa saa ambayo ni equiv na kubeba boksi (ana kazi tatu), lakini ana assets kibao bongo na cash money kwenye account kama $150,000+!! Kwahiyo kazi ni kazi tu, cha muhimu ni kuwa na malengo....cha kusikitisha ni kwamba, lau kama angelikuwa bongo, pengine hata hiyo kazi moja asingekuwa nayo leo hii!!
msilewe sana and don't drive while drunk ktk shamrashamra za mwaka mpya....goodluck ya'll.