Maneno ya aina hii hapa kwetu sijui tunayaandika tukiwa na maana gani hasa!hawawajibiki kwa yoyote, sio bunge wala mahakama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno ya aina hii hapa kwetu sijui tunayaandika tukiwa na maana gani hasa!hawawajibiki kwa yoyote, sio bunge wala mahakama.
Why kila kitu mnaingiza ushoga, kwamba kufanya biashara na western countries ndio ushoga? Unadai Zimbabwe waliwekewa vikwazo kisa ushoga unasahau Tanzania tulinyimwa pesa za MCC kisa..... uchaguzi mbovu wa 2015!! So unafanya cherry picking ili kufit narrative.Mnachotafsiri ni huko kujiondoa kwenye hao wanaoweka vikwazo hata mashoga wao wakikataliwa, kama alivyowekewa Zimbabwe hadi leo. Hao wakubwa wana 'values' zao wanazotaka ku-'impose' kwa nchi zingine.
At least bongo on paper mtu anaweza hata ripotiwa na CAG na bunge likiamua kukomaa kama enzi za Sitta basi anachukuliwa hatua. Sasa huko Burkina Faso wanajeshi wanachukua tu pesa kwenye akaunti za mashirika ya umma na hakuna wa kuwahoji maana serikali yao haiwajibiki kwa bunge au mahakama wao ndio kila kitu.Maneno ya aina hii hapa kwetu sijui tunayaandika tukiwa na maana gani hasa!
Maneno tu hayo ushujaa kwenye njaa hahudumu ni swala la muda..wanasubiri tufungue accounts za benki kwao (Ulaya) ili siku moja watwambie fanyeni hiki, fanyeni kile, vinginevyo tunawafungia…
Sisi hatujali… Hatuna accounts huko na hatuhitaji kuwa na accounts… Hatuna chochote huko na haitokaa itokee tukamiliki chochote huko…
Kila tunachokifanya ni kwa ajili ya Burkina Faso…
Sisi hatuhitaji hata kutoka nje ya Burkina Faso yetu…
Tuna amani hapa… Tukihitaji kwenda kutalii nje ya nchi, tutakwenda Bamako (Mali), Niamey (Niger) au miji mingine… Hatuna sababu ya kwenda huko kwao… Tupo vizuri hapa kwetu…
Kuhusu uoga, hatuna uoga… Tunafahamu athari zinazotuzunguka… Tumeamua kulitumikia taifa letu, tume-sacrifice maisha yetu kwa taifa hili… Kwa nini tuwe waoga?… Tumeweka kando ujana wetu, kwa lengo la kulitumikia taifa, kwa hiyo hatuna uoga wowote, ondoeni shaka!… Uoga sifuri.
Mandela ? Hivi katika list unamuweka Mandela kama angekuwa ni MJAPANI angeuliwaKama kauli yake imetoka moyoni na sio kututia Moyo Wafrika basi ni jasiri kama akina Nkrumah na Mandela hizi ndizo zilikuwa sera zao kuwa Wafrika ifike siku moja tujitawala na Kujiongoza kwa kila kitu.
Mie binafsi namuunga mkono
Aliingia madarakani September 22, hii taarifa ni ya February 23, inawezekana iliandaliwa wakati wa utawala wa kabla yake. Acha porojo.Consequently, corruption is now centre-stage as an issue for debate in Burkina Faso, and Sadou described how corruption has become endemic in various positions, whether in the command chain, budget management and even in some cases with funders.
Source: Millions of dollars missing - ‘Our auditors need autonomy’ - solutions to stem the corruption fuelling Sahel insecurity - Transparency International Defence & Security
Kabisa unajiona upo logicalBurkina Faso haitopata unafuu wa aina yeyote kwa kutawaliwa kijeshi hasa mtawala mwenyewe akiwa huyu Traore mwenye utoto na anayeamini nchi inafanikiwa kwa kujifungia na kujitenga na ulimwengu.
Shujaa yupi? Yule aliyemuachia Vice president wa Acacia na kumpa ubunge ilihali alituaminisha wametusababishia hasara ya Trillion 300?
Hakuna mnafiki kama yule shujaa feki, hata aliwahi waambia watu wamtegemee Mungu sio dawa za wazungu ilihali yeye alikua anatumia pacemaker ya mzungu kwa ajili ya kusukuma moyo wake!!
Nayajuwa yote hayo mkuu 'zitto jr', asante kwa kuyataja . Huo mfano wa 'ushoga' ndio unaoonyesha ujinga mkubwa sana wa hao watu wanaotaka ku'impose values' zao kwa wengine. Itakuwa ni mjinga tu asiyeweza kuelewa mfano kama huo.Why kila kitu mnaingiza ushoga, kwamba kufanya biashara na western countries ndio ushoga? Unadai Zimbabwe waliwekewa vikwazo kisa ushoga unasahau Tanzania tulinyimwa pesa za MCC kisa..... uchaguzi mbovu wa 2015!! So unafanya cherry picking ili kufit narrative.
Mambo ya kizamani hayo, “live your life and do the right thing “. Haya maneno nimeyasikia tangu nakua na sasa uzee unakuja na waumiaji ni sisi walala hoi.wanasubiri tufungue accounts za benki kwao (Ulaya) ili siku moja watwambie fanyeni hiki, fanyeni kile, vinginevyo tunawafungia…
Sisi hatujali… Hatuna accounts huko na hatuhitaji kuwa na accounts… Hatuna chochote huko na haitokaa itokee tukamiliki chochote huko…
Kila tunachokifanya ni kwa ajili ya Burkina Faso…
Sisi hatuhitaji hata kutoka nje ya Burkina Faso yetu…
Tuna amani hapa… Tukihitaji kwenda kutalii nje ya nchi, tutakwenda Bamako (Mali), Niamey (Niger) au miji mingine… Hatuna sababu ya kwenda huko kwao… Tupo vizuri hapa kwetu…
Kuhusu uoga, hatuna uoga… Tunafahamu athari zinazotuzunguka… Tumeamua kulitumikia taifa letu, tume-sacrifice maisha yetu kwa taifa hili… Kwa nini tuwe waoga?… Tumeweka kando ujana wetu, kwa lengo la kulitumikia taifa, kwa hiyo hatuna uoga wowote, ondoeni shaka!… Uoga sifuri.
Akili za kitumwa hiziNaona Diplomasia ya Burkina Faso ikianguka mbaya zaidi watakaoteseka sana siyo yeye bali Vizazi na Vizazi.
Dua la kuku.Shida ni Moja tu, hao mahasimu watawatumia weusi wenzake kupambana nae ndani na nje ya nchi yake.
Hii ni kauli yake binafsi lakini sio kauli ya taifa, wapo watakaotaka maslahi yao binafsi kuliko ya taifa. Hao ndio watakaomkwamisha kutimiza ndoto zake
Unataka uongozi utambulike kwako? We kama nani hasa, akili kama hizi bado zinaishi ni ajabu sanaHuyu naye hamna kitu, mbona anarudia ya dikteta mwenzie. Kwanza kaongeza miaka 5 ya utawala ambao hautambuliki kikatiba, na rushwa ndio imeongezeka maana hawawajibiki kwa yoyote, sio bunge wala mahakama.
He'll be worst, na nabashiri hapa atapinduliwa kabla ya hiyo miaka 5 aliyojipa. Kiburi cha madaraka kimemjaa
Hawa ndio viongozi tunao wataka, pelekeni democracia yenu huko acheni kucheza na hisia za wanachi, muda wote mnawaza vyeo tu kupitia democracia badala yakuendeleza nchi. Mnafanananisha democracia ya Africa ni lazima ifanane na ya Ulaya. Africa ili itoke hapa ilipo hahihitaji democracia ya kuachian madaraka inahitaji kiongozi mzalendo atawale haijalishi kaingiaje na atakaa muda gani. Na ukiona kiongozi anachukiwa na wanasiasa halafu anapendwa na wananchi huyo ndio anafaa.Huyu naye hamna kitu, mbona anarudia ya dikteta mwenzie. Kwanza kaongeza miaka 5 ya utawala ambao hautambuliki kikatiba, na rushwa ndio imeongezeka maana hawawajibiki kwa yoyote, sio bunge wala mahakama.
He'll be worst, na nabashiri hapa atapinduliwa kabla ya hiyo miaka 5 aliyojipa. Kiburi cha madaraka kimemjaa
Dua la kuku.
Afrika inaumizwa na demokrasia ya magharibi.
Role model ni Magufuli!wanasubiri tufungue accounts za benki kwao (Ulaya) ili siku moja watwambie fanyeni hiki, fanyeni kile, vinginevyo tunawafungia…
Sisi hatujali… Hatuna accounts huko na hatuhitaji kuwa na accounts… Hatuna chochote huko na haitokaa itokee tukamiliki chochote huko…
Kila tunachokifanya ni kwa ajili ya Burkina Faso…
Sisi hatuhitaji hata kutoka nje ya Burkina Faso yetu…
Tuna amani hapa… Tukihitaji kwenda kutalii nje ya nchi, tutakwenda Bamako (Mali), Niamey (Niger) au miji mingine… Hatuna sababu ya kwenda huko kwao… Tupo vizuri hapa kwetu…
Kuhusu uoga, hatuna uoga… Tunafahamu athari zinazotuzunguka… Tumeamua kulitumikia taifa letu, tume-sacrifice maisha yetu kwa taifa hili… Kwa nini tuwe waoga?… Tumeweka kando ujana wetu, kwa lengo la kulitumikia taifa, kwa hiyo hatuna uoga wowote, ondoeni shaka!… Uoga sifuri.
Anachonishangaza anatumia lugha ya Kifaransa kuwasiliana na hadhira yake, kama kweli amejinasua na makucha ya mabeberu kwanini asizungumze kwa Kiburkinabe?
Wewe kichwani hazimo hakuna lugha inaitwa ya kiburkinabe Burkina Faso Wana tofauti za makabila 66 kifaransa ndio lugha inayowaunganisha woteAnachonishangaza anatumia lugha ya Kifaransa kuwasiliana na hadhira yake, kama kweli amejinasua na makucha ya mabeberu kwanini asizungumze kwa Kiburkinabe?