Nini mtazamo wako juu ya kauli ya Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso?

hicho kichura kwenye avatar yako kinawajibika kwa nani?
rushwa ikoje? ufisadi?

yani mnapenda kuongea ujinga as if kwe u kuna nafuu,.... wewe hapa kazi kusifia hicho kibibi kisicho na lolote
Kwani nani kasema CCM ni wasafi? CCM ni mafisadi kama ambavyo huyo Dikteta ni fisadi sijaelewa kwanini unataka uchafu wa CCM uhalalishe uchafu wa dikteta?
 
Nevertheless, he refused to accept a President's salary and maintain his salary as a military captain. His salary as a soldier and not a president.
Wapi hii mnathibitisha? Mnapenda kuleta fake news humu. Nawaambia leo, huyo jamaa siku anatoka atakua amefuja pesa kuliko mtangulizi wake.

Nchi yoyote lazima iwe na uwajibikaji, sasa kukiwa na jeshi ambalo haliwajibiki kwa mtu kwanini wasiibe?
 
Wewe kichwani hazimo hakuna lugha inaitwa ya kiburkinabe Burkina Faso Wana tofauti za makabila 66 kifaransa ndio lugha inayowaunganisha wote
Pili ujue hakuna nchi duniani yenye hati miliki ya Lugha ndio maana kiingereza kinatumika nchi nyingi duniani kama lugha

Hata Kiswahili hakuna nchi yenye hati miliki nacho ndio maana unakuta Kenya,Congo ,Uganda kiswahili kipo
You are simply foolish, absolute toilets
 
Lugha haina hati miliki ndio maana Rwanda lugha ya maofisini ya KAZI ilikuwa kifaransa wamebadili kagame alivyoshika iwe kingereza

Hata Sisi sababu lugha haina hati miliki twaweza amua hata Kesho kuwa lugha yetu ya taifa iwe kijerumani kiarabu au kikikuyu au kisomali hakuna WA kutuzuia

Burkina Faso kutumia kifaransa sio shida wangeamua hata kutumia kichaga kama lugha ya taifa sawa Tu

Lugha haina mwenye hati.miliki
 
Lakini tambua mihemko haijawahi saidia kuongoza sasa jiulize kati ya China na North Korea nani ana nafasi bora.

Burkina Faso ni ndogo na masikini sana inahitaji watu watakao tuliza mihemko na kujenga nchi kupambana na mifumo iliyokita mizizi sio kazi ya mihemko bali akili.
Mkuu, mbona unazunguka zunguka humo humo?
Bukina Faso ajipendekeze au awe na mihemko haitamsaidia chochote.
Jibu pekee ni Bukina Faso wenyewe kujitambua na kuadhimia kubadili hali yao inayowakabili. Hawawezi kuwa na nafuu yoyote kwa vile wanajigalagaza kwa hao wakubwa, au wanahemuka kwa yeyote.

Juu ya hao Korea Kaskazini na China sielewi unachohoji hapo. Ni wazi mawazo yako yametekwa kabisa na 'propaganda' za hao unaodhani dunia yote ni mali yao, usiponyenyekea kwao maisha yako na watu wako yanakuwa duni.
Hebu tueleze, ulishawahi kufika Korea Kaskazini na kuona hali yao ilivyo, au unayo picha tu ya kuambiwa na hao wanaoshikilia akili yako?
Korea Kaskazini, Zimbabwe, na kwingineko wamewekewa vikwazo vya kiuchumi na nani na kwa sababu zipi, unajuwa? Maana ya kuwekewa vikwazo, ni ili iweje, unajuwa?
Sasa unahimiza wabinuke juu walambe ili iweje? Kuna binaadam wasio kubali kudhalilishwa utu wao kwa bei yoyote ile. Ndiyo maana wengi wetu tulikataa utumwa, na tukakataa ukoloni na sasa tunakataa ukoloni mambo leo.
 
Wapi hii mnathibitisha? Mnapenda kuleta fake news humu. Nawaambia leo, huyo jamaa siku anatoka atakua amefuja pesa kuliko mtangulizi wake.

Nchi yoyote lazima iwe na uwajibikaji, sasa kukiwa na jeshi ambalo haliwajibiki kwa mtu kwanini wasiibe?
Ndugu ktk nchi yako viongozi wanawajibika kwa nani? Mbona kuna wizi kushinda Burknabee
 
Mkuu, mbona unazunguka zunguka humo humo?
Bukina Faso ajipendekeze au awe na mihemko haitamsaidia chochote.
Jibu pekee ni Bukina Faso wenyewe kujitambua na kuadhimia kubadili hali yao inayowakabili. Hawawezi kuwa na nafuu yoyote kwa vile wanajigalagaza kwa hao wakubwa, au wanahemuka kwa yeyote.

Juu ya hao Korea Kaskazini na China sielewi unachohoji hapo. Ni wazi mawazo yako yametekwa kabisa na 'propaganda' za hao unaodhani dunia yote ni mali yao, usiponyenyekea kwao maisha yako na watu wako yanakuwa duni.
Hebu tueleze, ulishawahi kufika Korea Kaskazini na kuona hali yao ilivyo, au unayo picha tu ya kuambiwa na hao wanaoshikilia akili yako?
Korea Kaskazini, Zimbabwe, na kwingineko wamewekewa vikwazo vya kiuchumi na nani na kwa sababu zipi, unajuwa? Maana ya kuwekewa vikwazo, ni ili iweje, unajuwa?
Sasa unahimiza wabinuke juu walambe ili iweje? Kuna binaadam wasio kubali kudhalilishwa utu wao kwa bei yoyote ile. Ndiyo maana wengi wetu tulikataa utumwa, na tukakataa ukoloni na sasa tunakataa ukoloni mambo leo.
Hatufanani akili.
Pole
 
Back
Top Bottom