Nini mtazamo wako kuhusu kuongezeka kwa kasi kwa wachekeshaji Tanzania?

Njaa, kukosekana ajira
 
Wanalipwa pesa nzuri sana huko, nadhani ndio sababu
 
Kuna kipindi cha watu baki hapa dstv asilimia kubwa ni upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…