Nini na nani yuko nyuma ya mshana jr?

Kwani na wewe hayo unayoyapost anakutuma na kukulipa nani?
 
Mshana Jr, Mimi naona hana shida kabisa huyu mku,
ameamua tu kutoa elimu katika eneo hilo.
 
m
m nafikiri ameamua kama wewe ulivyoamua kuandika hii kwani umelipwa?
 

Ukipata jibu la no.2 mshitue Dr. Rutengwe anatafuta kazi!
 
Jamaa anaona kilingeni wateja wanapungua, kumbe huku kuna kilinge kingine,kiingilio ni bundle yako tu,sasa ndio amekuja kulianzisha, kwanza anampima sangoma mwenzake mshana jr,kama yuko fit,nadhani akaambiwa huyo humuwezi kuna walio nyuma yake,sasa jamaa kachanganyikiwa karopoka hapa,kweli mshana jr kazindikwa
 
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Duuuu
 
huwa nafungua thread za mshana jr nikiwa nimejawa na woga.huwa nashukuru nkikuta thread yake sijaielewa na siumizi kichwa nkiona hali hiyo nakimbilia jukwaa la elimu kusikia ya ndalichako na wachora katuni
 
Mi nnafikiri huwa anatoa elimu tu kuhusu haya mambo kama ilivyo elimu nyingine either huwa anasoma vitabu then ana share experience yake,anavyoelewa yeye na sisi pia tunajifunza kupitia idea hizo.Ni kama mwalimu wa hesabu anajifunza kanuni halafu anakuja kuwafumbua akili na kuwapa ujanja na mbinu za kuelewa somo,hivo ni sehemu tu ya kueleweshana mengine siri yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…