kizibo1
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 1,187
- 766
[emoji15] [emoji15] [emoji86] [emoji87]Mimi niko nyuma yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji86] [emoji87]Mimi niko nyuma yake
Kwani na wewe hayo unayoyapost anakutuma na kukulipa nani?Huyu Jamaa anayejiita mshana humu ndani amekuwa akitumia muda mwingi kuandika na kujibu comment za watu kuhusu mambo ya uganga, uchawi , ushetani na mambo ya kuzimu. Maswali yangu ni haya: 1.Nani anayemtuma?
2. Analipwa na nani?
3.Kwa mini anatimia muda mwingi kuandika haya?
4. Je siyo mmoja Wa waabudu shetani?
5. Lengo lake ni nini?
Naomba hoja zenu wana jf na yeye mshana Jr atajibu maswali haya na hoja zenu.
Angalia wasije kusema ni wewe ValeUmeshampata huyo alie nyuma ya Mshana?
Ha haaa na waseme tuAngalia wasije kusema ni wewe Vale
Hapana Inategemea na tafsiriNyuma ya mshana?! laweza kuwa tusi hili mshana
m nafikiri ameamua kama wewe ulivyoamua kuandika hii kwani umelipwa?Huyu Jamaa anayejiita mshana humu ndani amekuwa akitumia muda mwingi kuandika na kujibu comment za watu kuhusu mambo ya uganga, uchawi , ushetani na mambo ya kuzimu. Maswali yangu ni haya: 1.Nani anayemtuma?
2. Analipwa na nani?
3.Kwa mini anatimia muda mwingi kuandika haya?
4. Je siyo mmoja Wa waabudu shetani?
5. Lengo lake ni nini?
Naomba hoja zenu wana jf na yeye mshana Jr atajibu maswali haya na hoja zenu.
Huyu Jamaa anayejiita mshana humu ndani amekuwa akitumia muda mwingi kuandika na kujibu comment za watu kuhusu mambo ya uganga, uchawi , ushetani na mambo ya kuzimu. Maswali yangu ni haya: 1.Nani anayemtuma?
2. Analipwa na nani?
3.Kwa mini anatimia muda mwingi kuandika haya?
4. Je siyo mmoja Wa waabudu shetani?
5. Lengo lake ni nini?
Naomba hoja zenu wana jf na yeye mshana Jr atajibu maswali haya na hoja zenu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Ukipata jibu la no.2 mshitue Dr. Rutengwe anatafuta kazi!
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Jamaa anaona kilingeni wateja wanapungua, kumbe huku kuna kilinge kingine,kiingilio ni bundle yako tu,sasa ndio amekuja kulianzisha, kwanza anampima sangoma mwenzake mshana jr,kama yuko fit,nadhani akaambiwa huyo humuwezi kuna walio nyuma yake,sasa jamaa kachanganyikiwa karopoka hapa,kweli mshana jr kazindikwa
DuuuuJamaa anaona kilingeni wateja wanapungua, kumbe huku kuna kilinge kingine,kiingilio ni bundle yako tu,sasa ndio amekuja kulianzisha, kwanza anampima sangoma mwenzake mshana jr,kama yuko fit,nadhani akaambiwa huyo humuwezi kuna walio nyuma yake,sasa jamaa kachanganyikiwa karopoka hapa,kweli mshana jr kazindikwa
duuu aiseeeDuuuu