Nini na nani yuko nyuma ya mshana jr?

Nini na nani yuko nyuma ya mshana jr?

acha kufuatilia maisha ya watu hovyo ndug yangu unaonekana una tabia za kimbea Sana kufuatiia watu pasipo na sababu za msingi
 
Walioko nyuma ya Mshana jr ni sisi washana wenzie. Kama hujui maana ya Mshana uliza uambiwe .
 
Usiogope wala usijali kama hajakanyaga anga zako. Mshana jr. kweli ni jr sana kwa mambo haya ya kichawi na kishetwani. Anakusaidia weye tu ujielewe nini hutokea mpaka yakakukuta hayo mambo.
Ungekuwa unasoma mambo yake kwa jicho jema usingeacha kujua nia yake. Nia ya mshana jr ni kukuonesha kuwa hayo mambo ni ya kawaida tu. Hatangazi dini ya kishetani bali anatangaza kuwa nguvu za shetani zimeisha.
Usiogope kusoma maandiko yake, yatakusaidia sana tu katika ulimwengu huu
 
Wenye akili kubwa wanaweza kunielewa kirahisi lakini wenye akili ndogo Sana watachukua muda mwingi kuchanganua name kuelewa undani Wa thread hii.
 
Jamaa naona nae kaguswa,sasa anatafuta namna ya kumjua vizuri ili awe mshirika weka,funguka tu
 
Hahaha..ray jay bwana
 
Huyu Jamaa anayejiita mshana humu ndani amekuwa akitumia muda mwingi kuandika na kujibu comment za watu kuhusu mambo ya uganga, uchawi , ushetani na mambo ya kuzimu. Maswali yangu ni haya: 1.Nani anayemtuma?
2. Analipwa na nani?
3.Kwa mini anatimia muda mwingi kuandika haya?
4. Je siyo mmoja Wa waabudu shetani?
5. Lengo lake ni nini?

Naomba hoja zenu wana jf na yeye mshana Jr atajibu maswali haya na hoja zenu.

Kwa sababu huyu jamaa pia ni mfuasi wa CHADOMO kwa hivyo atakuwa pia na uhusino wa karibu sana na yule Mshenga Mkuu anayefuga MISUKULE..... Mkuu swali lako la 1 linaweza kujibiwa na huu uhusiano...
 
Nashukuru Sana kwa wazo lako zuri nimekuelewa Sana.
 
Mshana anatupa mbinu nyngi yakupambana nakuwajua hao wanaoitwa wachawi go mshana
 
Kwa sababu huyu jamaa pia ni mfuasi wa CHADOMO kwa hivyo atakuwa pia na uhusino wa karibu sana na yule Mshenga Mkuu anayefuga MISUKULE..... Mkuu swali lako la 1 linaweza kujibiwa na huu uhusiano...

Wewe ni mzigo sana!
 
Back
Top Bottom