Nini na nani yuko nyuma ya mshana jr?

Nini na nani yuko nyuma ya mshana jr?

UCHESHI:
Muzee wa foto say mshana jr hawajui wewe mwenyewe ndiye umeanzisha hii post..!!.
 
Last edited by a moderator:
Mmh! Mwenyewe atajibu nani yupo nyuma yake... na anafanya nini nyuma yake...
 
Huyu Jamaa anayejiita mshana humu ndani amekuwa akitumia muda mwingi kuandika na kujibu comment za watu kuhusu mambo ya uganga, uchawi , ushetani na mambo ya kuzimu. Maswali yangu ni haya: 1.Nani anayemtuma?
2. Analipwa na nani?
3.Kwa mini anatimia muda mwingi kuandika haya?
4. Je siyo mmoja Wa waabudu shetani?
5. Lengo lake ni nini?

Naomba hoja zenu wana jf na yeye mshana Jr atajibu maswali haya na hoja zenu.

Na wewe nani yuko nyuma yako mpaka unaweweseka namna hiyo?
Wenye akili wanajadili masuala bali wapumbavu wanajadili watu
 
Back
Top Bottom