charty
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 7,460
- 5,992
Loh kumbe mchumba hahahaaaa
au mpeleke makaburini kama madam b lol......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Loh kumbe mchumba hahahaaaa
hahahaha nakumbuka kwelii..dah itakua poa ukianza na huyu aliyekuanzishia huu uzi..ili akujue real you..
Namtafuta pm kaipiga lock
teh leo jion ile safari yetu si ipooo?:redface:
hahah sawa buana...Ijumaa hii hatuendi tunakuwa bata kwakuwa ni mwisho wa mwezi
Huyu Jamaa anayejiita mshana humu ndani amekuwa akitumia muda mwingi kuandika na kujibu comment za watu kuhusu mambo ya uganga, uchawi , ushetani na mambo ya kuzimu. Maswali yangu ni haya: 1.Nani anayemtuma?
2. Analipwa na nani?
3.Kwa mini anatimia muda mwingi kuandika haya?
4. Je siyo mmoja Wa waabudu shetani?
5. Lengo lake ni nini?
Naomba hoja zenu wana jf na yeye mshana Jr atajibu maswali haya na hoja zenu.
Jitahidi siku moja ufungue usingoje kusimuliwaMimi huwa sifungui threads zake kwa hiyo sina cha kuchangia.