Kishnajr
JF-Expert Member
- Jun 15, 2022
- 407
- 392
Habar zenu wadau,
Ndgu yangu kaibiwa sim aina ya infinix, alikuw kwny daladala wahuni wakapita nayo. Alivoshuka kwny kituo chake kajikuta hana simu,
Akaazima simu kuipiga namba yake,jamaa akapokea akamwambia njoo sehem flan uchukue simu yako. Akakodi boda hadi eneo husika. Akampigia jamaa akamkatia simu na akawa hapatikani kbsa.
Nmejarbu kuchek location sim naiona ipo Vingunguti na haijahama location kwa muda wa masaa 5.
Sas nauliza wadau nifanye nini ili niweze kuipata hii simu ya mdg wangu?