Nini nifanye niipate simu iloibiwa?

Nini nifanye niipate simu iloibiwa?

Habar zenu wadau,. Ndgu yangu kaibiwa sim aina ya infinix, alikuw kwny daladala wahuni wakapita nayo. Alivoshuka kwny kituo chake kajikuta hana simu,

Akaazima simu kuipiga namba yake,jamaa akapokea akamwambia njoo sehem flan uchukue simu yako. Akakodi boda hadi eneo husika. Akampigia jamaa akamkatia simu na akawa hapatikani kbsa.

Nmejarbu kuchek location sim naiona ipo Vingunguti na haijahama location kwa muda wa masaa 5.

Sas nauliza wadau nifanye nini ili niweze kuipata hii simu ya mdg wangu?
Kaka yangu alishapataga simu ila sasa wale wakutafuta wanahitaji ela kama sio ya garama sana
Nunua nyingine
Ila kama ni ya gharama sana na kuna docza muhimu
Nenda polis wana watu wa cyber
 
Hii hpn kaka. Nilichofanya nimeweka email kwny ile find my device ndio nikawa naiona huko Vingunguti
Simu km Ina email Ina kila kitu chako unaipata tena ndani ya masaa 24 Ila sasa hii michezo ni very risk akipasuka mtu wa kwanza kudakwa alietrack

IPO hivi km Simu Ina email yako inatengenezwa link anatumiwa huyo Mwizi akiibonyeza tu HIO link inaonyesha exact location unaenda hapo kuichukua Simu yako fasta Ila asipasuliwe mtu na sitaki kufanya hio michezo sababu ni very risk siwezi kudhibiti hasira za watu Mimi
 
Sas kaka,hii location ambayo naiona huku huenda sio ynywe au,hapo sjaelewa kiongoz.
 
Kanunue simu mpya

Usipoteze muda endelea na shughuli zako

Imeshafunguliwa hiyo na vifaa vyote vimeuzwa kama spare
 
Back
Top Bottom