Nini nifanye niipate simu iloibiwa?

Kishnajr

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
407
Reaction score
392
Habar zenu wadau,

Ndgu yangu kaibiwa sim aina ya infinix, alikuw kwny daladala wahuni wakapita nayo. Alivoshuka kwny kituo chake kajikuta hana simu,

Akaazima simu kuipiga namba yake,jamaa akapokea akamwambia njoo sehem flan uchukue simu yako. Akakodi boda hadi eneo husika. Akampigia jamaa akamkatia simu na akawa hapatikani kbsa.

Nmejarbu kuchek location sim naiona ipo Vingunguti na haijahama location kwa muda wa masaa 5.

Sas nauliza wadau nifanye nini ili niweze kuipata hii simu ya mdg wangu?
 
Daaah mwanangu,uchumi wa watanzania walio wengi nadhan unauelewa, hatuna pesa ya kununulia hzo unazoziita simu. Kaka. Km una wazo nipatie kiongoz
Natania tu Mzee.

Mm mwenyewe natumia Smartkitochi hapa.

TakaTaka/WantWant
 
Hii ndio Ile tunaita based on true story Ila ingekua iPhone hapo Mzee inakupeleka mpaka alipo hata akajifiche SHIMONI, Simu umeiunga na GPS find my phone's nikupe ABC?
Ndio imeungwa kk
 
Kwakuwa anajua location bc apambane mwnyw tuu kuliko kupoteza muda polisi vinginevyo apotezee tuu
Sas hapo kwny kupambana mwnywe ndio nataka mawazo kaka,maan police garama sitoweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…