Nini nifanye niipate simu iloibiwa?

Kaka yangu alishapataga simu ila sasa wale wakutafuta wanahitaji ela kama sio ya garama sana
Nunua nyingine
Ila kama ni ya gharama sana na kuna docza muhimu
Nenda polis wana watu wa cyber
 
Hii hpn kaka. Nilichofanya nimeweka email kwny ile find my device ndio nikawa naiona huko Vingunguti
Simu km Ina email Ina kila kitu chako unaipata tena ndani ya masaa 24 Ila sasa hii michezo ni very risk akipasuka mtu wa kwanza kudakwa alietrack

IPO hivi km Simu Ina email yako inatengenezwa link anatumiwa huyo Mwizi akiibonyeza tu HIO link inaonyesha exact location unaenda hapo kuichukua Simu yako fasta Ila asipasuliwe mtu na sitaki kufanya hio michezo sababu ni very risk siwezi kudhibiti hasira za watu Mimi
 
Sas kaka,hii location ambayo naiona huku huenda sio ynywe au,hapo sjaelewa kiongoz.
 
Kanunue simu mpya

Usipoteze muda endelea na shughuli zako

Imeshafunguliwa hiyo na vifaa vyote vimeuzwa kama spare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…