Saint_Mwakyoma
JF-Expert Member
- Jun 8, 2019
- 865
- 1,208
Hii ni njia nziri ya kufanya reflection, rudisha mawazo nyuma na ujiulize ungefanya nini ingekua ni wakati huu. Kubali maumivu na hutarudia makosa yale tena.
Tunaishi leo hatuishi jana. Unaweza kuifanya leo iwe bora na kesho bora zaidi lakini huwezi kuifanya jana iwe bora.
Nielee kidogo zaidi mkuu kwaio ni Kama meditation auHii ni njia nziri ya kufanya reflection, rudisha mawazo nyuma na ujiulize ungefanya nini ingekua ni wakati huu. Kubali maumivu na hutarudia makosa yale tena.
Tunaishi leo hatuishi jana. Unaweza kuifanya leo iwe bora na kesho bora zaidi lakini huwezi kuifanya jana iwe bora.
Mkuu nipo guilty kupitiliza mkuu inawaza kunicost kimaishaSasa bila Kutwambia Makosa gani Uliyofanya ...Unafikiri tutakuwa na njia bora ya kukushauri ?
Yaani tutakuwa tuna 'guess' Kwa mfano ... labda ulivunja glasi ya maji ambayo unachotakiwa
kufanya ni kufagia vipande vilivyovunjika na kuvitupa mbali halafu unanunua nyingine
maisha yanaendelea.
Kwa hiyo embu funguka ..Tukushauri cha Kufanya..!
Asante mkuu......tiba ya chumvi inauzwa wapi msaada tafadhaliUpe muda wakati .. Kwa nguvu yako mwenyewe hutaweza. Fanya michakato ya kuomba radhi kama kuna uliowakosea kati ya hayo.. Anza kuishi positive.. Tumia tiba ya chumvi itakusaidia kukupa amani na utulivu
Asante mkuu......tiba ya chumvi inauzwa wapi msaada tafadhali
Asante Sana nitalifanyia kaziTiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza
Habarini za usiku huu Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya...www.jamiiforums.com
Taja hayo makosa uliyofanya ili upate ushauri mzuri zaidi. Kama ulifanya jinai kubwa mfano kuua, kubaka, nk. basi ni vizuri ukajisalimisha kituo chochote cha polisi ili sheria ifuate mkondo wake.Mkuu nipo guilty kupitiliza mkuu inawaza kunicost kimaisha
Bila kuweka wazi ulifanya nini hautakuwa huru.Mkuu nipo guilty kupitiliza mkuu inawaza kunicost kimaisha
Ndio maana Niko hapa japo mnisaidie njia za kupitaMuda unaenda maisha lazima yaendelee Unapoteza muda..Leave the past live now.
Hizo sentensi mbili ni za maana sana ukizitafakari na kuelewa,wote watakaokushauri tamati ni hapo.Ndio maana Niko hapa japo mnisaidie njia za kupita
Asante mrHizo sentensi mbili ni za maana sana ukizitafakari na kuelewa,wote watakaokushauri tamati ni hapo.
Asante mrHivyo unavyofanya kusahau kwa muda, fanya kutwa mara tatu kila siku. Au kubali tu ilishatokea na huwezi badilisha, maisha yasonge kama ulivyonukuu hapo mwisho.