Nini nifanye niweze kusahau makosa niliyofanya kwa kujitakia yanayonihukumu kila siku?

Ulishaungama mara ngapi hizo dhambi zako kwa dhati mbele za Mungu wako, au hujui hakuna lisilowezekana kwa Mungu?

Mungu akishakusamehe tayari inatosha, lakini nawe pia uwe mwaminifu sana kitabia ili uruhusu Roho Mtakatifu awe ndani ya hekalu lake(mwilini mwako) akiwa Mshauri wa ajabu na Kimkuu
Mkuu mwenyewe nishawai ila Bado napata uzito flani hivi moyoni
 
Kwa miaka sasa ninatumia nguvu kubwa kutumia njia mbali mbali japo tu, nisahau makosa yangu yaliyo haribu njia ya maisha yangu lakini naishia kupata ahueni kwa muda tu na baadaye najikuta niko na yale maumivu.

Wakuu nisaidieni mbinu mbadala mlizotumia kusahau makosa yenu kwenye safari zenu za maisha.

" Let go of what was Accept what is Have faith in what will be"
Kupitia kuzungumza jambo linalokutatiza kwa watu hasa wasiokujua ila ukapata mawazo na ushauri wao hakika utapata haueni zaidi na vile mda unaenda utasahau

Iko hivi hapa jukwaani hakuna mkamilifu ndugu , hivyo eleza makosa yako japo kwa usiri sana endapo unaweza kuwa costed kwa kukamatwa labda ila sio rahisi bado ila eleza makosa kwa code then tushuke ushauri na maoni, finally utakuwa Sawa.
Usiliogope hili jukwaa hakuna mtakatifu hata mmoja hapa.
 
Asante mr
Ahsante nawe pia,Kwa kuongezea tu Kuna watu wamefanya makosa zaidi yako na mpaka leo hawajazinduka na wanafanya sehemu ya maisha yao,Usijione mpweke Mshukuru Mungu amekuzindua ukiwa bado upo Hai.Tafuta hela yote yataisha Usiishi kwa kuangalia fulani ananiangaliaje Roll modal wako ni wewe mwenyewee.
 
Sio Lazima kueleza matatizo yako hapa na wala sikushauri Hapa jukwaani kuna watu wa aina tofauti angalia ushauri unaokufaa basi.
 
Kama ulidhulumu mali ya mtu au kutoa roho ya mtu au kubakaaa au kubwakwaa hyo kitu aitokagii kichwani mpk unaingia kaburin mkuu,
 
Kuna mambo mengi sana ambayo mtu huwa anayafanya kisiri siri akidhani Hukumu haitampata,

hali hiyo itakusumbua muda mrefu sana kama hutochukua hatua za mapema kwa sababu hilo siyo pepo, roho yako imezongwa na mizigo ya maisha hivyo una huzuni kuu.

Utawaeleza watu lakini kwa kweli hawataelewa kwa sababu guilt/Condemnation ni mluzi unaoendelea kila sekunde,

Kukosa Amani na Utulivu hakutokei bila sababu.
Kuhisi kila wakati hautoshi yaani unakula vizuri, unalala pazuri, unavaa vizuri, una mshahara nk... lakini kwa ndani hupati ridhiko kabisa. Unatamani kupata kitu zaidi lakini kwa hakika hujui ni kitu.

Hebu dadisi mienendo yako, usiishi kama jiwe tu.

Kama unatumia pombe, sigara, ngono, Punyeto na ulevi mwingine wowote, Acha kwa siku saba za mwanzo upate matokeo!

Tubu dhambi zako hata zile ambazo huzikumbuki, Mkabidhi Mungu maisha yako kwa Sababu yeye ndiye mwenye majibu yote.

Samehe watu waliokuudhi ili upate msamaha pia, Bila msamaha huwezi kufurahia amani iliyo bure kabisa.
 
Kupitia kuzungumza jambo linalokutatiza kwa watu hasa wasiokujua ila ukapata mawazo na ushauri wao hakika utapata haueni zaidi na vile mda unaenda utasahau

Iko hivi hapa jukwaani hakuna mkamilifu ndugu , hivyo eleza makosa yako japo kwa usiri sana endapo unaweza kuwa costed kwa kukamatwa labda ila sio rahisi bado ila eleza makosa kwa code then tushuke ushauri na maoni, finally utakuwa Sawa.
Usiliogope hili jukwaa hakuna mtakatifu hata mmoja hapa.
Mkuu nitalifikilia hilo
 
Ahsante nawe pia,Kwa kuongezea tu Kuna watu wamefanya makosa zaidi yako na mpaka leo hawajazinduka na wanafanya sehemu ya maisha yao,Usijione mpweke Mshukuru Mungu amekuzindua ukiwa bado upo Hai.Tafuta hela yote yataisha Usiishi kwa kuangalia fulani ananiangaliaje Roll modal wako ni wewe mwenyewee.
🙏🏾
 
Sio Lazima kueleza matatizo yako hapa na wala sikushauri Hapa jukwaani kuna watu wa aina tofauti angalia ushauri unaokufaa basi.
Mkuu nimepitia thread nyingine nimeona unavyoweza raluliwa moyo inasikitisha sana
 
Kuna mambo mengi sana ambayo mtu huwa anayafanya kisiri siri akidhani Hukumu haitampata,

hali hiyo itakusumbua muda mrefu sana kama hutochukua hatua za mapema kwa sababu hilo siyo pepo, roho yako imezongwa na mizigo ya maisha hivyo una huzuni kuu.

Utawaeleza watu lakini kwa kweli hawataelewa kwa sababu guilt/Condemnation ni mluzi unaoendelea kila sekunde,

Kukosa Amani na Utulivu hakutokei bila sababu.
Kuhisi kila wakati hautoshi yaani unakula vizuri, unalala pazuri, unavaa vizuri, una mshahara nk... lakini kwa ndani hupati ridhiko kabisa. Unatamani kupata kitu zaidi lakini kwa hakika hujui ni kitu.

Hebu dadisi mienendo yako, usiishi kama jiwe tu.

Kama unatumia pombe, sigara, ngono, Punyeto na ulevi mwingine wowote, Acha kwa siku saba za mwanzo upate matokeo!

Tubu dhambi zako hata zile ambazo huzikumbuki, Mkabidhi Mungu maisha yako kwa Sababu yeye ndiye mwenye majibu yote.

Samehe watu waliokuudhi ili upate msamaha pia, Bila msamaha huwezi kufurahia amani iliyo bure kabisa.
Mkuu umenivusha sehemu muda mwengine nateseka sana lakini nakosa majibu sometimes huwa machozi yananitoka tu bila sababu mpaka watu wananishtua mbona unalia Kaka ndio nashtuka nikicheki nalia kweli.
 
Mkuu nimepitia thread nyingine nimeona unavyoweza raluliwa moyo inasikitisha sana
Kumbe unataka ubembelezwe tu?! ..
Kumbuka hukuumizwa wewe...Ni uliumiza..

Sasa ili upone sema vizuri tu hapa Ni salama ... Na majibu yatakayokuja kubali..kwamba Ni ufunguo wa kukuweka huru...

Wakikuchana..ndio patamu ..maana unalipa kwa kusafisha na hata machozi..Ila wapo pia watakao kupa moyo na kukushauri vizuri...

Lipia usafi ...!

Hakuna mkamilifu.. ..Kuna viumbe humu..Anza kusema ..waendeleze Uzi kwa yao ..utashangaa
.. ...
 
Sawa mkuu nitajaribu
 
Nna swali kwanza

1) yanakutesa kihisia au yanakuteza kivipi? Kimaradhi au kiudhaifu gani?

Kama yanakutesa kihisia “ inakubidi ujisamehe wewe mwenyewe kwanza kwa ulichokifanya/ulichoyafanya .. ukibali uliyafanya na uape kuwa hautoyafanya tena na kikubwa zaidi ujisamehe wewe mwenyewe kwanza “ ujisemeshe kuwa ulijikosea wewe mwenyewe na sitarudia tena kujikosea na pia kama uliwakosea watu wa-face uwaombe msamaha au uwatume watu wakakuombee msamaha wakakuombee radhi ukishamaliza hayo muelekee M/Mungu kama unamuamini na umuangukie umuonge msamaha pia yaani utubu hayo mambo uliyokuwa ukiyafanya..

Na kama yanakutesa ki-maradhi au udhaifu wowote wa mwili ‘ baada ya kuomba na kujisamehe wewe mwenyewe..mcheki doctor akutibie kama maradhi..

Mcheki “ doctor wa saikologia akusaidie zaidi kwa malipo nafuu sana.
 
Asante mkuu umenibusha sehemu
 
nje ya mada kidgo. kukosa amani moyoni kwa mda mrefu huzaa mauti.
zingatia hilo
 
Back
Top Bottom