Nini Nimejifunza kutoka Ze Utamu na RM/RA Saga

nahisi zitafumuka kama 800 hivi kwa hizi siku mbili tatu......mie namind sana yaani jamaa wajifanya kuona baada ya wazeiya kugonga ikulu....eti na dunia hii wanaifungia website kama ile.....waangalie mambo ya msingi kuna ma kagoda,ma BOt ma Rostam na mijikashfa kibao wanajifanya hawaoni....
 
chakuchekesha sasa, wanadhani wameifunga kabisa lakini picha bado karibu zote zinaonekana google, just type "site:andika website ya utamu hapa" halafu click on images tab....zoooote zipo...kumbukeni mtu ukiweka kitu online ndo imetoka hiyo...
 
Last edited:

Semilong; Asante sana.

Bado naamini kuwa kumdhalilisha Muungwana si jambo jema kwani ni Mkuu Wetu na pia ni kinyume na maadili na kukosa heshima.

Najiuliza tu kwa nini mambo hayatendeki katika kila nyanja mpaka wakubwa waguswe na jambo hilo? Wananchi wa kawaida ni nani atawasikiliza kwa VITENDO?

Hata mtoto mdogo akinyanyaswa sana na wazazi wake itafika wakati atakimbia nyumbani au ataamua kuwafanyizia maana kilio chake hakuna anayekisiakia.
 
Huu ni woga mkuu, kwani wao wanatuheshimu, wangetuibia mchana, wangetuacha tufe na magonjwa, ajali, njaa, elimu duni. wameshatuvunjia heshima siku nyingi sasa wanataka kututisha tutachonga sana wacha magereza yajae.
 
Utamu ilikuwa hewani weeks after mkuu kudhalilishwa na ile picha ilikuwapo pale. Tatizo ni kwamba wanaotumia local ISP walikosa access lakini ukiwa nje ya bongo uliendelea kupata access--- So hiyo ya kufungwa sina hakika sana
 
Kwa walio nje inawezekana waliendelea kuipata. Lakini waliokuwa Bongo, sidhani. Niliongea na "Vijana na Kijana mmoja wa Kazi" ndiyo aliyenishtua kulikoni Utamu, Next day sikuiona hewani. Natumia VSAT na niko bongo na sikuipata. Je sasa hivi unaipata?
 
mie nipo Ireland, haipatikani tokea jana jumamosi. kazi ipo
 
The Utamu ilitesa kwa muda mwingi sana hata baada ya lile tukio kubwa. Mimi nilishangaa mambo kama yale ni ya kufanya kwa muda mfupi sana lakini kwetu ilichukua muda sana wakuu. Nilisikitishwa sana.

Hata sasa huenda jamaa ameiondoa mwenyewe.
 
Mkuu Kasheshe,

Na wewe mkuu ulikuwa unatafuta nini kule Zeutamu? Kwi kwi kwi!!!

Heri mimi sikufika kule! Nimegundua wapenzi wa Zeutamu hapa wengi kweli kweli.
 
Tusijisifu kwamba mtandao huo umekufa tuzidi kuendelee kutoa ushirikiano ili usirudi tena Hewani
hata kama mtandao ukiwa umekufa wewe utapata faida gani wacha mawazo mgando
usiporudi hewani wewe unapata faida gani....
badala ya kuwaimiza watu kwenye mambo ya maana eti unawaambia washirikiane kusimamisha ze utamu wacha jealous...

hizo picha za zeutamu haziwezi kuondoka uki google unazipata zote
google zeutamu halafu above the search box second left click images
utaziona zote mpaka ya mkulu
 
mi niko confuse picha ya mkuu JK iliwekwa zeutamu anafanya what is not suppose kufanya kama political figure, married man and a father? maana mimi hii zeutamu siangali kwa sana inawezekana nilipitwa.

niambieni nyie lol
 
chakuchekesha sasa, wanadhani wameifunga kabisa lakini picha bado karibu zote zinaonekana google, just type "site:andika website ya utamu hapa" halafu click on images tab....zoooote zipo...kumbukeni mtu ukiweka kitu online ndo imetoka hiyo...

Thanx.......Noted!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…