Nini nisifanye nikiwa 'outing' kwa mara ya kwanza?

Wakati wa kulipa bili usipoteze uchangamfu..jifanye ni mambo madogo kama kujuta kajutie ghetto ukiwa alone.

Mmh, haya mkuu
Style yangu ni kumpa date kwenye baa ya uswazi hata afanyevipi, bili haitanipotezea uchangamfu. Napiga mavazi ya kiswazi. Tena nashuka na daladala, ila huwa sichelewi hata dakika. Simu kama nokia ringo vile. Maongezi ka ya Sinza Kijiweni ila attention 100%. Na mimi nasoma nijue kama maji marefu nitimue mapema
 

Duh mkulu makubwa hayo

........
Style yangu ni kumpa date kwenye baa ya uswazi hata afanyevipi....???

Huyo shostito anakuja kweli huko sinza kijiweni kwenye zile chips chips hapo ??????? au attendence huwa ni zero %?????


mwana wane nawe nkiboko kweli!
 
Duh mkulu makubwa hayo



Huyo shostito anakuja kweli huko sinza kijiweni kwenye zile chips chips hapo ??????? au attendence huwa ni zero %?????


mwana wane nawe nkiboko kweli!

Mkuu Jethro hata mbuyu ulianza kama mchicha. Wanakuja tena sana tu. Tatizo ukimwanzia mambo ya juu na yeye anakuwa matawi ya juu. Wanawake (wengi) nawasifu kwa uwezo wa kuji adjust kulingana na mazingira. Tukitoka Sinza tunaendelea kwingine hata Rio tutakwenda ila uswazi ndio pa kuanzia. BTW mazingira ya uswazi yanachangia sana kuleta mood ya maongezi..mara kuku kapita, unafukuza inzi mezani, kibaka anataka kukwapua nk
 

Mkulu MwalimuZawadi,

kweli ulichokisema ila nao ktk hali ile wanapaswa nao kutambua maana wana show maswaga mbaya usipaime, nili visit Arusha kitambo kwa best nikamkuta kapewa maswaga na shostito mpaka hoi na shostito huyo ilikuwa ni a just a 1st date out jamaaaa alikuwa analia hakuana rangi ya swaga hakuiona na demu huyo alipewa full outing ya nguvu mbaya at the end jamaaa akasepa alimshindwa coz ya swaga kibao, hawa mashostito sometime wanapoteza bahati sana.

sometime kwa formula yako ya uswazi nayo ni poa kupima upepo umwone kama yupo hata kwa uswazi??
 
ikiwa ni outing mara ya kwanza usijaribu kujifanyisha,kua kama wewe halisi,usijaribu kuiga tabia ambayo hunayo,demu atakupendea tabia ulizoigiza at the time ukiwa kwenye tabia yako halisi lazima mgombane,ndugu yangu kama ni kwenye kula naagiza msosi mlima tena hata muhudumu namwambia asinipunje, kua wewe siku zote ili upate mwanamke ambaye atakupenda ulivyo,usije ukaishi kwa kumfurahisha mtu
 

Daaaaaah.. Mkuu hapa umeua.. basically, you should know what you want.

Yooote hapo nakubaliana na wewe mpwa, ila hapo kwenye red hapo! Dah! Nadhani yatahitajika maombi! Ni heri niachane na binti kuliko kuachana na serengeti!

Hehehe... Mkuu serengeti na demu ipi bora?


Hehhehe.. Nahisi ulishapewa degree na mabamedi

Mnampa theories nyingi mtoa thread...muhimu kuwa na mkwanja,konom za kutosha na usinyonye maziwa mkifika sehem sehem..siku hizi wanapaka cocaine halafu wanaondoka na hilo GX-110 Lako...Lol

Aiseeeeeeeee... never heard of this before... tnx for da warning...



Heheheh.. Kweli mkuu ulimuhitaji huyo mdada kwa udi na uvumba..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…