FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Hehehehe ukizingatia jamaa Castle zilikuwa zinafanya kazi kichwani duh si akakolea.....
teteteh next time nafasi ya upendeleo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehehe ukizingatia jamaa Castle zilikuwa zinafanya kazi kichwani duh si akakolea.....
hahaha nikumbushe ni wapi hapo nikakujibu mapema na iwezekanavyo wala sijakuwekea hiana jethro
Hivi mdada unajisikiaje?
Wakati wa kulipa bili usipoteze uchangamfu..jifanye ni mambo madogo kama kujuta kajutie ghetto ukiwa alone.
Mmh, haya mkuu
Style yangu ni kumpa date kwenye baa ya uswazi hata afanyevipi, bili haitanipotezea uchangamfu. Napiga mavazi ya kiswazi. Tena nashuka na daladala, ila huwa sichelewi hata dakika. Simu kama nokia ringo vile. Maongezi ka ya Sinza Kijiweni ila attention 100%. Na mimi nasoma nijue kama maji marefu nitimue mapema
........
Style yangu ni kumpa date kwenye baa ya uswazi hata afanyevipi....???
Duh mkulu makubwa hayo
Huyo shostito anakuja kweli huko sinza kijiweni kwenye zile chips chips hapo ??????? au attendence huwa ni zero %?????
mwana wane nawe nkiboko kweli!
Mkuu Jethro hata mbuyu ulianza kama mchicha. Wanakuja tena sana tu. Tatizo ukimwanzia mambo ya juu na yeye anakuwa matawi ya juu. Wanawake (wengi) nawasifu kwa uwezo wa kuji adjust kulingana na mazingira. Tukitoka Sinza tunaendelea kwingine hata Rio tutakwenda ila uswazi ndio pa kuanzia. BTW mazingira ya uswazi yanachangia sana kuleta mood ya maongezi..mara kuku kapita, unafukuza inzi mezani, kibaka anataka kukwapua nk
Si kila demu anataka janaume pole!! Cha kwanza unatakiwa ujue huyo demu unamwitaji kwa ajiri gani, je ni 1 night stand or for two weeks or wakuchapa unapohitaji au una nia ya ku build life time relatioship!!
Ukijua unamuhitaji kwa sababu na mipango gani then itakuwa rahisi kwako ku strategise. Mfano, unaenda na demu out ambaye una nia ya kumchapa tu na kummwaga, na unaona kabisa anapenda matawi ya juu, jifanye mshua na huna shida ndogo ndogo!! Ikibidi kama anaki starlet mwahidi utamnunulia RAV 4 - 3 doors, mpeleke mbali na kwao kwenye kiwanja cha maana, mle raha mpaka late night, afu jifanye huwezi drive coz its too late!! Mchezo utakuwa umeisha, utalamba asali na kutambaa!!
Kama ni demu unaye intend ku build long time relationship, strategy itakuwa tofauti kulingana na aina ya demu na social class yake!!!
Wengine tulishawahi kwenda mpaka kwa Mwakasege Biafra kwenye mahubiri ili mradi tu tung'oe mzigo!!! Wadau its not necessary that you should be yourself when you need a cute chick!!
You be youself you lose her!! So be strategic
Yooote hapo nakubaliana na wewe mpwa, ila hapo kwenye red hapo! Dah! Nadhani yatahitajika maombi! Ni heri niachane na binti kuliko kuachana na serengeti!
You can Say It Again. Mi ndio maana napenda kujiexpress na mabaamedi. Elfu ishirini mnakula, mnakunywa, mnamegana na nauli bado iiapatikana ya kutosha. Ukichokana naye kesho anakufanyia mpango kwa rafiki yake. Hawana wivu na ni wabunifu na wazoefu. Wanatoa ushirikiano wa hali ya juu.
Mnampa theories nyingi mtoa thread...muhimu kuwa na mkwanja,konom za kutosha na usinyonye maziwa mkifika sehem sehem..siku hizi wanapaka cocaine halafu wanaondoka na hilo GX-110 Lako...Lol
mwenzio siku ya kwanza nilienda kanisani kwao (kanisa gani lile wanaonyeshaga kwa kutumia kituo kimoja kinaitwa ATN) tukasali wote nilikuwa mpole, siongei sana.
baada ya sadaka na matangazo tukatoka.tukashuka china town pale tukala msosi, wakati huo siongei sana, namsifia tu. siku hiyo hiyo jion nikala tunda la uhuru.
so inategemea ni nani na wewe unamchukuliaje!
nakumbuka kwamara ya kwanza siku hiyo nilivaa tai
hahahaha
wana JF, ni mambo gani ambayo sipaswi kuyafanye nikiwa 'outing' kwa mara ya kwanza na totoz??