Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You can Say It Again. Mi ndio maana napenda kujiexpress na mabaamedi. Elfu ishirini mnakula, mnakunywa, mnamegana na nauli bado iiapatikana ya kutosha. Ukichokana naye kesho anakufanyia mpango kwa rafiki yake. Hawana wivu na ni wabunifu na wazoefu. Wanatoa ushirikiano wa hali ya juu.
sasa tutafanyeje mpwa?nyie wazee hivyo vikao vyenu ndio vya kuondoka na wambulu, wasambaa nk...?...kokoto ni nini?
Ningeshangaa sana usingeulizia kokoto! Hahaha! Wacha mchezo. Buku tatu unatafuna ugali na kokoto zenye akili. Then baada ya hapo bia zinamwagika kama mayi!
HEHEHEHE!
jamaa anasema nilipendeza?!hivi nilivaaje?
Professional gals bwana! Kwanza hizo expenses pasu pasu.....mnakula good time thats all, demu wa kunipiga mizinga hana nafasi na mimi!
sasa huyu ndiye alifanya kila kitu kionekane saaaafi!tulipotoka pale mwendo mpaka rizooti kwa kaizer!HESHIMA IKAENDELEAhahaaa, mkuu ulikua umekula shati waiti hivi!, na ulikua 'fresh'
ebana jana nilikua ukweni nikashindwa kutia maguu zero pub.
ila iliniuma kukosa kumuona huyo bibie watu waliotwangana magumi kwaajili yake!!
hahaaaa, mkuu this is a point to note and taken into consideration for further action (ki-bluurei!!).You can Say It Again. Mi ndio maana napenda kujiexpress na mabaamedi. Elfu ishirini mnakula, mnakunywa, mnamegana na nauli bado iiapatikana ya kutosha. Ukichokana naye kesho anakufanyia mpango kwa rafiki yake. Hawana wivu na ni wabunifu na wazoefu. Wanatoa ushirikiano wa hali ya juu.
TUKO PAMOJA MPWA!na sheria zetu zinajulikana!FAINI-RAUNDI TATUJamani mimi nilitoa udhuru iliyoeleweka nafikiri,
What kind of Proffession? am ulikua unataka kusema interlectuals. kwasababu hata wale wa Kona bar ni maproffessional kwenye hiyo kazi yao! upo hapo?
TUKO PAMOJA MPWA!na sheria zetu zinajulikana!FAINI-RAUNDI TATU
Duu kazi kazi ipo! unategemea kweli nilikuwa nazungumzia house gals? tafadhali leo mwenzio nina furaha !
Duu kazi kazi ipo! unategemea kweli nilikuwa nazungumzia house gals? tafadhali leo mwenzio nina furaha !
mkuu leo mdomo mchungu kinoma, mambo yakiwa swafi ntakatiza kwa KINIBU pale kufanya mambo, ntakucheki.TUKO PAMOJA MPWA!na sheria zetu zinajulikana!FAINI-RAUNDI TATU
kwana hakuna proffessional house girls!! Rekebisha ngeli kidogo jombaa!
sasa tutafanyeje mpwa?
ndo raha ya pombe!ukishafika bia ya nane kila mwanamke unaona anakufaa😀
haha haya
hahaha! Kama yule wa jana alivyogeuka kuwa mrembo ghafla mpaka mpwa fidel akang'ang'ania kupewa contacts. Hahahaha! Biere bana!