Zanzibar ina wapiga kura wasiozidi laki 5, Tanzania bara ina wapiga kura takribani milioni 29.
Zanzibar yenye wapiga kura laki 5 watapiga kura kwa siku mbili yaani tarehe 27 na 28/10 wakati Tanzania bara yenye wapiga kura wengi 29mil. watapiga kura kwa siku moja trh 28/10 tu. Kwanini? Kuna sababu gani za msingi, kama ni Askari au watumishi wa NEC/ZEC hawaoni kura hiyo ingehitajika zaidi Bara ili waweze kusimamia vizuri.
Swali la nyongeza, Je, kura zitakazopigwa mapema nani atazilinda usiku wa kuamkia trh 28 au matokeo yake yatabandikwa siku hiyo hiyo au mawakala wa vyama wataruhusiwa kulala na madanduku ya kura zilizopigwa mapema?
Mwenye majibu tafadhali ili kuondoa dukuduku.