Zanzibar 2020 Nini sababu hasa ya Kura ya Mapema kwa wapiga kura wa Zanzibar wasiozidi laki 5?

Zanzibar 2020 Nini sababu hasa ya Kura ya Mapema kwa wapiga kura wa Zanzibar wasiozidi laki 5?

Hao waliopiga leo watapiga tena kesho,kumbuka kwa uchaguzi wa Zanzibar wapiga kura hawazidi laki tano hivyo hao jamaa wakipiga kura Mara mbili wanampatia ushindi mgombea wa CCM. Otherwise mwaka huu Maalim Seif mpige gap kubwa sana Dr Mwinyi.
 
Back
Top Bottom