Hata ukimsikiliza mwenyekiti wa ZEC kwenye hili hutamwelewa , anachoongea hakieleweki hata chembeZanzibar ina wapiga kura wasiozidi laki 5, Tanzania bara ina wapiga kura takribani milioni 29.
Zanzibar yenye wapiga kura laki 5 watapiga kura kwa siku mbili yaani tarehe 27 na 28/10 wakati Tanzania bara yenye wapiga kura wengi 29mil. watapiga kura kwa siku moja trh 28/10 tu. Kwanini? Kuna sababu gani za msingi, kama ni Askari au watumishi wa NEC/ZEC hawaoni kura hiyo ingehitajika zaidi Bara ili waweze kusimamia vizuri.
Swali la nyongeza, Je, kura zitakazopigwa mapema nani atazilinda usiku wa kuamkia trh 28 au matokeo yake yatabandikwa siku hiyo hiyo au mawakala wa vyama wataruhusiwa kulala na madanduku ya kura zilizopigwa mapema?
Mwenye majibu tafadhali ili kuondoa dukuduku.
Hapo ndio goli la mkono lilipotegewa.Mkliikubali Wazanzibari imekula kwenu.Zanzibar ina wapiga kura wasiozidi laki 5, Tanzania bara ina wapiga kura takribani milioni 29.
Zanzibar yenye wapiga kura laki 5 watapiga kura kwa siku mbili yaani tarehe 27 na 28/10 wakati Tanzania bara yenye wapiga kura wengi 29mil. watapiga kura kwa siku moja trh 28/10 tu. Kwanini? Kuna sababu gani za msingi, kama ni Askari au watumishi wa NEC/ZEC hawaoni kura hiyo ingehitajika zaidi Bara ili waweze kusimamia vizuri.
Swali la nyongeza, Je, kura zitakazopigwa mapema nani atazilinda usiku wa kuamkia trh 28 au matokeo yake yatabandikwa siku hiyo hiyo au mawakala wa vyama wataruhusiwa kulala na madanduku ya kura zilizopigwa mapema?
Mwenye majibu tafadhali ili kuondoa dukuduku.
Yaan hata wazanzibar wakikataa kitakavho endelea kinasikitisha mabox lazima yatakuwa na kura tu. Swali litakuwa nani kapiga? Na zitakuwa kura za nani? Zilipigwa wapi na saangapiHapo ndio goli la mkono lilipotegewa.Mkliikubali Wazanzibari imekula kwenu.
Huo ni wizi wa kitoto sana.Any way mbinu zimewaishia
Una marinda?Dola ikisema imesema babu asitake kutoa damu za watu kisa yeye awe Rais.
Lengo hao wasimamizi wasiipigie ACTZanzibar ina wapiga kura wasiozidi laki 5, Tanzania bara ina wapiga kura takribani milioni 29.
Zanzibar yenye wapiga kura laki 5 watapiga kura kwa siku mbili yaani tarehe 27 na 28/10 wakati Tanzania bara yenye wapiga kura wengi 29mil. watapiga kura kwa siku moja trh 28/10 tu. Kwanini? Kuna sababu gani za msingi, kama ni Askari au watumishi wa NEC/ZEC hawaoni kura hiyo ingehitajika zaidi Bara ili waweze kusimamia vizuri.
Swali la nyongeza, Je, kura zitakazopigwa mapema nani atazilinda usiku wa kuamkia trh 28 au matokeo yake yatabandikwa siku hiyo hiyo au mawakala wa vyama wataruhusiwa kulala na madanduku ya kura zilizopigwa mapema?
Mwenye majibu tafadhali ili kuondoa dukuduku.
Nakukumbusha mnama kura Ni siri huwez jua nan kampigia nan kinachomata Ni majumuisho.Naambiwa mkurugenzi wa uyui anataka kupigisha kura tar:27 tena adhabu kali itatolewa kwa atakae pigia kura Lisu!!
Bora tuliwe sote lkn wizi wa kura usiwepo tenaDola ikisema imesema babu asitake kutoa damu za watu kisa yeye awe Rais.