Haujibiwi kwa sababu nia ni kiba kura,Zanzibar kuna vituo Vingi vya kupiga kura na kura tano kwa mpiga kura.Kwa bahati mbaya zaidi kila kituo kitakachopigiwa kura siku ya tarehe 27/10/2020,hakutakuwa na kura za Maalim.CCM wametengeneza mazingira ya kujizolea idadi kubwa ya kura Siku hiyo ili tarehe 28/10/2020 wanapiga fainali.Tangia tupate Uhuru/Mapinduzi/Muungani,hatujawahi kusikia/kushuhudia aina hii ya uhuni.Zanzibar ina wapiga kura wasiozidi laki 5, Tanzania bara ina wapiga kura takribani milioni 29.
Zanzibar yenye wapiga kura laki 5 watapiga kura kwa siku mbili yaani tarehe 27 na 28/10 wakati Tanzania bara yenye wapiga kura wengi 29mil. watapiga kura kwa siku moja trh 28/10 tu. Kwanini? Kuna sababu gani za msingi, kama ni Askari au watumishi wa NEC/ZEC hawaoni kura hiyo ingehitajika zaidi Bara ili waweze kusimamia vizuri.
Swali la nyongeza, Je, kura zitakazopigwa mapema nani atazilinda usiku wa kuamkia trh 28 au matokeo yake yatabandikwa siku hiyo hiyo au mawakala wa vyama wataruhusiwa kulala na madanduku ya kura zilizopigwa mapema?
Mwenye majibu tafadhali ili kuondoa dukuduku.
Acha upuuzi! CCM hawahangaiki na watu ambao wanaweza kuwafanya lolote. Kazuie kura ya tarehe 27kama ubavu unao.Kwenye huu uzi huwakuti ccm maana washajua kama kizazi cha siku hizi ni tofauti na kizazi cha kina wasira
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Zanzibar ina wapiga kura wasiozidi laki 5, Tanzania bara ina wapiga kura takribani milioni 29.
Zanzibar yenye wapiga kura laki 5 watapiga kura kwa siku mbili yaani tarehe 27 na 28/10 wakati Tanzania bara yenye wapiga kura wengi 29mil. watapiga kura kwa siku moja trh 28/10 tu. Kwanini? Kuna sababu gani za msingi, kama ni Askari au watumishi wa NEC/ZEC hawaoni kura hiyo ingehitajika zaidi Bara ili waweze kusimamia vizuri.
Swali la nyongeza, Je, kura zitakazopigwa mapema nani atazilinda usiku wa kuamkia trh 28 au matokeo yake yatabandikwa siku hiyo hiyo au mawakala wa vyama wataruhusiwa kulala na madanduku ya kura zilizopigwa mapema?
Mwenye majibu tafadhali ili kuondoa dukuduku.
Sasa hivi wajinga wamepungua kweli.ndo mana ccm inaweweseka sana safari hii.Mtaji wa CCM ni Ujinga wa Watanzania.
Kwa hiyo na nyinyi mnataka kutoa damu kisa mwinyi awe rais acheni wizi mnacho kitaka mtakipata tu mwaka huuDola ikisema imesema babu asitake kutoa damu za watu kisa yeye awe Rais.
Kujazilizia palipopungua uchaguzi uliopita, hawataki tena kufuta matokeo kwa sababu ya wajumbe kuvua mashati.Zanzibar ina wapiga kura wasiozidi laki 5, Tanzania bara ina wapiga kura takribani milioni 29.
Zanzibar yenye wapiga kura laki 5 watapiga kura kwa siku mbili yaani tarehe 27 na 28/10 wakati Tanzania bara yenye wapiga kura wengi 29mil. watapiga kura kwa siku moja trh 28/10 tu. Kwanini? Kuna sababu gani za msingi, kama ni Askari au watumishi wa NEC/ZEC hawaoni kura hiyo ingehitajika zaidi Bara ili waweze kusimamia vizuri.
Swali la nyongeza, Je, kura zitakazopigwa mapema nani atazilinda usiku wa kuamkia trh 28 au matokeo yake yatabandikwa siku hiyo hiyo au mawakala wa vyama wataruhusiwa kulala na madanduku ya kura zilizopigwa mapema?
Mwenye majibu tafadhali ili kuondoa dukuduku.
Ni wizi tu wa kuraZanzibar ina wapiga kura wasiozidi laki 5, Tanzania bara ina wapiga kura takribani milioni 29.
Zanzibar yenye wapiga kura laki 5 watapiga kura kwa siku mbili yaani tarehe 27 na 28/10 wakati Tanzania bara yenye wapiga kura wengi 29mil. watapiga kura kwa siku moja trh 28/10 tu. Kwanini? Kuna sababu gani za msingi, kama ni Askari au watumishi wa NEC/ZEC hawaoni kura hiyo ingehitajika zaidi Bara ili waweze kusimamia vizuri.
Swali la nyongeza, Je, kura zitakazopigwa mapema nani atazilinda usiku wa kuamkia trh 28 au matokeo yake yatabandikwa siku hiyo hiyo au mawakala wa vyama wataruhusiwa kulala na madanduku ya kura zilizopigwa mapema?
Mwenye majibu tafadhali ili kuondoa dukuduku.
Siyo babu, bali ni haki yaoDola ikisema imesema babu asitake kutoa damu za watu kisa yeye awe Rais.
Mm na mshukuru mungu nitaenda kwani ninani wakumuogopa ispokua Allah pekeyakeAcha upuuzi! CCM hawahangaiki na watu ambao wanaweza kuwafanya lolote. Kazuie kura ya tarehe 27kama ubavu unao.
Kura siri ya mtu na msilazimishe kumpigia mtu debe kwani kila mtu anajua hali anayoishi nayoNaambiwa mkurugenzi wa uyui anataka kupigisha kura tar:27 tena adhabu kali itatolewa kwa atakae pigia kura Lisu!!
Hiyo ndiyo namna nzruri ya kuiba kuraZanzibar ina wapiga kura wasiozidi laki 5, Tanzania bara ina wapiga kura takribani milioni 29.
Zanzibar yenye wapiga kura laki 5 watapiga kura kwa siku mbili yaani tarehe 27 na 28/10 wakati Tanzania bara yenye wapiga kura wengi 29mil. watapiga kura kwa siku moja trh 28/10 tu. Kwanini? Kuna sababu gani za msingi, kama ni Askari au watumishi wa NEC/ZEC hawaoni kura hiyo ingehitajika zaidi Bara ili waweze kusimamia vizuri.
Swali la nyongeza, Je, kura zitakazopigwa mapema nani atazilinda usiku wa kuamkia trh 28 au matokeo yake yatabandikwa siku hiyo hiyo au mawakala wa vyama wataruhusiwa kulala na madanduku ya kura zilizopigwa mapema?
Mwenye majibu tafadhali ili kuondoa dukuduku.
Haramu inatakiwa kuhalalishwa mapema ili ikichanganywa na halali hakuna atakayehoji!!Zanzibar ina wapiga kura wasiozidi laki 5, Tanzania bara ina wapiga kura takribani milioni 29.
Zanzibar yenye wapiga kura laki 5 watapiga kura kwa siku mbili yaani tarehe 27 na 28/10 wakati Tanzania bara yenye wapiga kura wengi 29mil. watapiga kura kwa siku moja trh 28/10 tu. Kwanini? Kuna sababu gani za msingi, kama ni Askari au watumishi wa NEC/ZEC hawaoni kura hiyo ingehitajika zaidi Bara ili waweze kusimamia vizuri.
Swali la nyongeza, Je, kura zitakazopigwa mapema nani atazilinda usiku wa kuamkia trh 28 au matokeo yake yatabandikwa siku hiyo hiyo au mawakala wa vyama wataruhusiwa kulala na madanduku ya kura zilizopigwa mapema?
Mwenye majibu tafadhali ili kuondoa dukuduku.
BADO naiuliza sijapata jibu.. kura za urais wa zanzibar zinapigwa lini?Lengo kuu ni kupigisha kura wasiohusika na hasa mamluki kutoka Tanganyika ili kujazia kura za CCM.
Wizi Mkuu, ccm ni majambaziZanzibar ina wapiga kura wasiozidi laki 5, Tanzania bara ina wapiga kura takribani milioni 29.
Zanzibar yenye wapiga kura laki 5 watapiga kura kwa siku mbili yaani tarehe 27 na 28/10 wakati Tanzania bara yenye wapiga kura wengi 29mil. watapiga kura kwa siku moja trh 28/10 tu. Kwanini? Kuna sababu gani za msingi, kama ni Askari au watumishi wa NEC/ZEC hawaoni kura hiyo ingehitajika zaidi Bara ili waweze kusimamia vizuri.
Swali la nyongeza, Je, kura zitakazopigwa mapema nani atazilinda usiku wa kuamkia trh 28 au matokeo yake yatabandikwa siku hiyo hiyo au mawakala wa vyama wataruhusiwa kulala na madanduku ya kura zilizopigwa mapema?
Mwenye majibu tafadhali ili kuondoa dukuduku.
Kwani wazanzibar wote ni wapinzani?Wanzanzibar kamwe msikubali kupiga kura mara mbili,kama ni tar 27 wote mjitokeze mkapige kura tar 27...Mkikubali tu mmenumia SISIEMU ni wezi.