n-propanol JF-Expert Member Joined Apr 7, 2019 Posts 5,349 Reaction score 7,000 Oct 27, 2020 #41 Bobwe2 said: Ni mbinu tu ya CCM kutaka kuiba kura. Click to expand... Punguani utawajua tu,mbowe hana chake this time.
Bobwe2 said: Ni mbinu tu ya CCM kutaka kuiba kura. Click to expand... Punguani utawajua tu,mbowe hana chake this time.
K Kinjeketile JF-Expert Member Joined Dec 24, 2013 Posts 999 Reaction score 1,683 Oct 27, 2020 #42 Hao waliopiga leo watapiga tena kesho,kumbuka kwa uchaguzi wa Zanzibar wapiga kura hawazidi laki tano hivyo hao jamaa wakipiga kura Mara mbili wanampatia ushindi mgombea wa CCM. Otherwise mwaka huu Maalim Seif mpige gap kubwa sana Dr Mwinyi.
Hao waliopiga leo watapiga tena kesho,kumbuka kwa uchaguzi wa Zanzibar wapiga kura hawazidi laki tano hivyo hao jamaa wakipiga kura Mara mbili wanampatia ushindi mgombea wa CCM. Otherwise mwaka huu Maalim Seif mpige gap kubwa sana Dr Mwinyi.
n-propanol JF-Expert Member Joined Apr 7, 2019 Posts 5,349 Reaction score 7,000 Oct 27, 2020 #43 issa yurry said: Bora tuliwe sote lkn wizi wa kura usiwepo tena Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app Click to expand... Uliwa wewe kamanda. Kwa taarifa yako hata mbowe, Zitto wenye vyama vyao they are not ready to die ooh. Kama umejikatia tamaa kufa mwenyewe..
issa yurry said: Bora tuliwe sote lkn wizi wa kura usiwepo tena Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app Click to expand... Uliwa wewe kamanda. Kwa taarifa yako hata mbowe, Zitto wenye vyama vyao they are not ready to die ooh. Kama umejikatia tamaa kufa mwenyewe..
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Oct 27, 2020 #44 T11 said: Kwani wazanzibar wote ni wapinzani? Click to expand... Wazanzibar wote hawataki UKOLONI..........Wanataka mamlaka kamili.
T11 said: Kwani wazanzibar wote ni wapinzani? Click to expand... Wazanzibar wote hawataki UKOLONI..........Wanataka mamlaka kamili.