Nini sababu mwanamme kuwa na marafiki wengi wa kike kuliko wa kiume?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
9,397
Reaction score
12,415
Katika hali isiyo ya kawaida wapo wanaume ambao hupata marafiki wengi wa kike kirahisi kuliko wa kiume.

Nini sababu?

Ingia kwenye hoja dondosha jibu lako
 
Female response,

I think wengi ni coincidence tu wanajikuta wamezoeana na wakike zaidi. Jinsia tofauti zikikaa pamoja ni rahisi kuzoeana kuliko watu wa jinsia moja.

Mwanaume ni rahisi kuanzisha maongezi na mwanamke hata kama ni stranger, na mwanamke pia anakuwa mwepesi kuanzisha mawasiliano au maongezi na mwanaume kuliko mwanamke mwenzake.

Ndio maana ni rahisi kukuta mwanaume yupo karibu na wanawake au mwanamke yupo karibu na wanaume wengi kuliko wanawake. Na wote wanakuwa huru kuwa karibu na huru kuongea chochote.

Kuhusu urafiki sidhani. Kwa sababu ku-hang out na mtu haimaanishi ni rafiki yako.
Wengi wamezoeana lakini haimaanishi ni marafiki.

Funny joke, kwani nani asiyependa kuzungukwa na maua?
 
Mimi sina rafik wa kike hata mmoja
ila wanaume wenye marafik wa kike wengi mambo yao ni ya kikekike mfano mzuri yule juma lokole kule insta si unaona jins alivyo Kama siyo rizk vile
 
Wakati niko o'level nilikua na marafiki wengi wakike kuliko wa kiume ila baada ya hapo mpaka sasa nimejikuta sina marafiki wa kike kabisa
 
Female response,

I think wengi ni coincidence tu wanajikuta wamezoeana na wakike zaidi. Jinsia tofauti zikikaa pamoja ni rahisi kuzoeana kuliko watu wa jinsia moja.

Mwanaume ni rahisi kuanzisha maongezi na mwanamke hata kama ni stranger, na mwanamke pia anakuwa mwepesi kuanzisha mawasiliano au maongezi na mwanaume kuliko mwanamke mwenzake.

Ndio maana ni rahisi kukuta mwanaume yupo karibu na wanawake au mwanamke yupo karibu na wanaume wengi kuliko wanawake. Na wote wanakuwa huru kuwa karibu na huru kuongea chochote.

Kuhusu urafiki sidhani. Kwa sababu ku-hang out na mtu haimaanishi ni rafiki yako.
Wengi wamezoeana lakini haimaanishi ni marafiki.

Funny joke, kwani nani asiyependa kuzungukwa na maua?
Watu wa jinsia tofaut ni rahis kuanzisha mawasiliano kuliko jinsia moja? Hapana siyo kweli sisi wanaume tukikutana wenyewe kwa wenyewe huwa tunaanzisha urafik haraka zaid kuliko tunapokutana na wanawake,,,

yani wanaume tunaweza kukutana hata 10 wote hatujuani na tukaanza kupiga story pamoja na tukacheka tukafurahi ndani ya muda mfupi tu tukazoeana... ila ni ngum kukutana na wanawake wanne alaf tunzishe nao story hiyo huwa haiwi rahisi
 
Hujawahi kuona pia kuna wanawake wana marafiki wengi wa kiume kuliko wakike?
Mi naona ni malezi na hurka binafsi tu ya mtu.
 
Katika hali isiyo ya kawaida wapo wanaume ambao hupata marafiki wengi wa kike kirahisi kuliko wa kiume.

Nini sababu?

Ingia kwenye hoja dondosha jibu lako
Mwanaume kuwa na marafiki wengi wa kike huo siyo uanaume, bali ni uanamke wa mfano wake yaani kuna vitabia vya kike mtu huyo anakuwa navyo.

Mambo mengine ni magumu sana kuwezekana mpaka uvunje utaratibuwa asili, na sisi wanaume hatuna taratibu hizo.

Sisi Waswahili tunasema hivi "Ndege wafananao ndiyo huruka pamoja". Kauki hii ina maana pana sana.

Shukrani.
 
Watu wa jinsia tofaut ni rahis kuanzisha mawasiliano kuliko jinsia moja? Hapana siyo kweli sisi wanaume tukikutana wenyewe kwa wenyewe huwa tunaanzisha urafik haraka zaid kuliko tunapokutana na wanawake,,,

yani wanaume tunaweza kukutana hata 10 wote hatujuani na tukaanza kupiga story pamoja na tukacheka tukafurahi ndani ya muda mfupi tu tukazoeana... ila ni ngum kukutana na wanawake wanne alaf tunzishe nao story hiyo huwa haiwi rahisi
Umesema kweli kabisa na huu ndiyo usahihi, ndiyo maana tunasema wenye kuwa na urafiki na watoto wa kike, hao ujue wana tabia kama zao hao watoto wa kike.

Sis kwa sisi wanaume ni rahisi kuwa marafiki na kuanzisha urafiki ndani ya masaa tu watu tunakuwa kama tumejuana miaka na mikaka iliyo pita.

Kwangu katika jambo ambalo ni gumu sana ni kuwa na urafiki na mtoto wa kike, siwezi aisee zaidi ya kumtongoza tu.
 
Back
Top Bottom