Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
Wa kiume.Na wewe una marafiki gani?
Watu wa jinsia tofaut ni rahis kuanzisha mawasiliano kuliko jinsia moja? Hapana siyo kweli sisi wanaume tukikutana wenyewe kwa wenyewe huwa tunaanzisha urafik haraka zaid kuliko tunapokutana na wanawake,,,Female response,
I think wengi ni coincidence tu wanajikuta wamezoeana na wakike zaidi. Jinsia tofauti zikikaa pamoja ni rahisi kuzoeana kuliko watu wa jinsia moja.
Mwanaume ni rahisi kuanzisha maongezi na mwanamke hata kama ni stranger, na mwanamke pia anakuwa mwepesi kuanzisha mawasiliano au maongezi na mwanaume kuliko mwanamke mwenzake.
Ndio maana ni rahisi kukuta mwanaume yupo karibu na wanawake au mwanamke yupo karibu na wanaume wengi kuliko wanawake. Na wote wanakuwa huru kuwa karibu na huru kuongea chochote.
Kuhusu urafiki sidhani. Kwa sababu ku-hang out na mtu haimaanishi ni rafiki yako.
Wengi wamezoeana lakini haimaanishi ni marafiki.
Funny joke, kwani nani asiyependa kuzungukwa na maua?
Halafu ww si ni mwanamke?Wa kiume.
Mkuu you ask too many kweschens. You don't need to know me more just back to our topicHalafu ww si ni mwanamke?
Mwanaume kuwa na marafiki wengi wa kike huo siyo uanaume, bali ni uanamke wa mfano wake yaani kuna vitabia vya kike mtu huyo anakuwa navyo.Katika hali isiyo ya kawaida wapo wanaume ambao hupata marafiki wengi wa kike kirahisi kuliko wa kiume.
Nini sababu?
Ingia kwenye hoja dondosha jibu lako
Umesema kweli kabisa na huu ndiyo usahihi, ndiyo maana tunasema wenye kuwa na urafiki na watoto wa kike, hao ujue wana tabia kama zao hao watoto wa kike.Watu wa jinsia tofaut ni rahis kuanzisha mawasiliano kuliko jinsia moja? Hapana siyo kweli sisi wanaume tukikutana wenyewe kwa wenyewe huwa tunaanzisha urafik haraka zaid kuliko tunapokutana na wanawake,,,
yani wanaume tunaweza kukutana hata 10 wote hatujuani na tukaanza kupiga story pamoja na tukacheka tukafurahi ndani ya muda mfupi tu tukazoeana... ila ni ngum kukutana na wanawake wanne alaf tunzishe nao story hiyo huwa haiwi rahisi
nimevutiwa na hilo neno (kweschens) asilimia kubwa ya wa TZ hawalitamki kwa usahihiMkuu you ask too many kweschens. You don't need to know me more just back to our topic