Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Hayo maji yanayodondoka asubuhi kwenye exhaust ni ishara nzuri kuwa cylinder head bado bikra..Mkuu General8 wazo langu ni kuweka plugs mpya kwanza halafu nione. Na je huko kudondosha maji kwenye tailpipe unakuzungumziaje?
lakini pia hayo maji yanasababishwa na kupoa kwa engine usiku kucha...hivyo ukiwasha gari ule ubaridi wa engine ndiyo unafanya uone hayo maji maji..