Nini sababu ya gari ya petrol kutoa moshi

Nini sababu ya gari ya petrol kutoa moshi

Mkuu General8 wazo langu ni kuweka plugs mpya kwanza halafu nione. Na je huko kudondosha maji kwenye tailpipe unakuzungumziaje?
Hayo maji yanayodondoka asubuhi kwenye exhaust ni ishara nzuri kuwa cylinder head bado bikra..
lakini pia hayo maji yanasababishwa na kupoa kwa engine usiku kucha...hivyo ukiwasha gari ule ubaridi wa engine ndiyo unafanya uone hayo maji maji..
 
Mleta mada nikuulize swali...Kwanini unajamba
 
Back
Top Bottom