Boeing 747 JF-Expert Member Joined Mar 30, 2018 Posts 3,515 Reaction score 9,415 Jun 5, 2018 #41 Soki said: Mkuu General8 wazo langu ni kuweka plugs mpya kwanza halafu nione. Na je huko kudondosha maji kwenye tailpipe unakuzungumziaje? Click to expand... Hayo maji yanayodondoka asubuhi kwenye exhaust ni ishara nzuri kuwa cylinder head bado bikra.. lakini pia hayo maji yanasababishwa na kupoa kwa engine usiku kucha...hivyo ukiwasha gari ule ubaridi wa engine ndiyo unafanya uone hayo maji maji..
Soki said: Mkuu General8 wazo langu ni kuweka plugs mpya kwanza halafu nione. Na je huko kudondosha maji kwenye tailpipe unakuzungumziaje? Click to expand... Hayo maji yanayodondoka asubuhi kwenye exhaust ni ishara nzuri kuwa cylinder head bado bikra.. lakini pia hayo maji yanasababishwa na kupoa kwa engine usiku kucha...hivyo ukiwasha gari ule ubaridi wa engine ndiyo unafanya uone hayo maji maji..
42_007 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2015 Posts 1,561 Reaction score 824 Jun 5, 2018 #42 Mleta mada nikuulize swali...Kwanini unajamba