Eeh makubwatukio la huyu jamaa kufanya haya yote !
japo ni mkristo nilifika kuchukia wanaosema ni askari !
na leo mama kasema kama mnaona mtu kuwa na kosa kwanza fanyeni uchunguzi kabla kuleta yote!
mama kaeleza.
polisi wanaongoza kupiga dili
-askari michongo,askari sio wahaminifu,askari kutaka maisha na ukweli.
View attachment 1908327
View attachment 1908328
View attachment 1908329
jeshi la polisi kuna kasoro kama wananchi katika maelezo wanaeleza ukweli kuhusu hili.
kumbuka kuna siku mtakimbilia jeshi kuu kwa haya.
japo nilimuachia mungu
Itajulikana tuuMsimuliaji amejuaje yote hayo? Kwamba wakampeleka chobisi wakataka kumdhulumu akawawahi n.k
Huyo anae report hivo alikua nae huyo Hamza ?au alimtumia msg kumwambia yanayomsibu?
Angekuwa gaidi angeua pia raia waliokuwa wanapita.
story ni nyingi kwaiyo bhana akajua na kutumia AK 47 au aliingia youtube eneo la tukio
tukio la huyu jamaa kufanya haya yote !