Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
100% polisi ndiyo wajinga na wala rushwa. Mimi nasimama na huyu dogo, angekuwa gaidi angeua pia raia waliokuwa wanapita. Nadhani PCCB wachunguze na polisi waliokufa na waliohai wachunguzwe ili kubaini na hata hao marehemu wafunguliwe kesi ya unyang’anyi na ujambazi. Ingekuwa enzi za Magu wangeogopa hao polisi ila kipindi hiki walitaka kumuua kama akina Zombe ila dogo inaonekana yupo vizuri.
uyo magu ndiye aliezalisha watu kama kina sabaya