Nini sababu ya Hamza kufanya yote haya?

Nini sababu ya Hamza kufanya yote haya?

Aliyeandika wasap kiswahili hajui litakuwa gaidi la kisomali linamtetea gaidi
 
Waislamu kwenye ubora wenu wa kutetea magaid.....,.,,uyo gaidi km magaidi wengine
 
Ila huyu mwamba alivokuwa kashika ile Ak47 ni kama ana mazoea nayo sana yani... anaijua vizuri alikua habahatishi
 
Huyo ni gaidi juzi ni mbinu za magaidi kutokuua raia wanapoanza ugaidi
100% polisi ndiyo wajinga na wala rushwa. Mimi nasimama na huyu dogo, angekuwa gaidi angeua pia raia waliokuwa wanapita. Nadhani PCCB wachunguze na polisi waliokufa na waliohai wachunguzwe ili kubaini na hata hao marehemu wafunguliwe kesi ya unyang’anyi na ujambazi. Ingekuwa enzi za Magu wangeogopa hao polisi ila kipindi hiki walitaka kumuua kama akina Zombe ila dogo inaonekana yupo vizuri.
 
Waislamu kwenye ubora wenu wa kutetea magaid.....,.,,uyo gaidi km magaidi wengine
Nilitegemea kukutana na vitu kama hivi,, nilijua tu hapa kwa kuwa huyo jamaa ni msomali na kavaa kibagarashia hata kama angeingia benki kuiba basi imani na ugaidi lazima vihusishwe na watu kama nyie lkn wenye chuki binafsi na imani zingine kwa mgongo wa ugaidi.
 
Police ianzie kwa huyu member aliyeleta uzi tutayapata magaidi mengi tuyarudishe kwao
 
Polisi wafanyie kazi habari zote. Kwamba ni 'msomali' kafuga ndevu inaweza kuwa rahisi kuamin kuwa ni gaidi. Lakini kwamba Polisi walitaka 'kumrusha' madini yake si kitu cha kudharau. Tumewahi shuhudia hayo zamani pia.
 
tukio la huyu jamaa kufanya haya yote !

japo ni mkristo nilifika kuchukia wanaosema ni askari !

na leo mama kasema kama mnaona mtu kuwa na kosa kwanza fanyeni uchunguzi kabla kuleta yote!

mama kaeleza.

polisi wanaongoza kupiga dili

-askari michongo,askari sio wahaminifu,askari kutaka maisha na ukweli.
View attachment 1908327
View attachment 1908328
View attachment 1908329

jeshi la polisi kuna kasoro kama wananchi katika maelezo wanaeleza ukweli kuhusu hili.

kumbuka kuna siku mtakimbilia jeshi kuu kwa haya.


japo nilimuachia mungu
Tuwe wapole, jamaa anaonyesha ana mbinu za kivita, that means somewhere alipata training, tusiwe wepesi kuhukumu polisi.
 
Polisi ni hatari, maana ukiangalia mazingira ya mshikaji wala hayakuwa ya hatari. Natamani PCCB wafanye kazi na TISS wawawue kabisa askari majambazi wanatuharibia nchi. Angekuwa gaidi angaua raia maana walikuwa wengi kwenye magari. I hope kama alikuwa muislamu safi ataiona ahera kwa sababu kaua wabaya wake tu.
Kumbe unakuwaga na akili?
 
Back
Top Bottom