Nini sababu ya kuimbwa misemo tata jogging za Jeshi?

[emoji445]Kwa mara ya kwanza, mama naumiaaa...
[emoji445]Kwa mara ya pili wee, mdogo mdogo inaingiaaa...
[emoji445]Naskia raha, utamuu, jamani raha, utamuuu
Ahsante mkuu nilikuwa navuta beti haziingii vizuri
 
Inatupa Stimu tuu....

Paf mbili tatu zinakaa sawa...
Ooh yes! I am feeling good to see your post!

Unapotea sana bibi Kasie, au majukumu ya kumhudumia babu?

Back to the topic.

Lengo kuu la burudani; zikiwemo nyimbo ni kuusahaulisha ubongo magumu uliyopitia. Na aghalabu burudani ni chaguo la anayetaka kuburidika.

Kikubwa tu, tusipangiane aina ya burudani.

Wa mambo yetu yale sawa, wa fegi sawa, wa pombe sawa,wa disco sawa na kadha wa kadha.
 
Inatupa Stimu tuu....

Paf mbili tatu zinakaa sawa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwanajeshi uliyewekwa sero mpaka vyakula vikaoza kwenye buti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Eboo! [emoji23]
 
Tanesco wakipandisha nguzi kwenye gari
"Paschal Wawa, Wawa weka, wekaa
Joash OnyangoOnyango wekaa...."
 
Hahaha aice, kuna moja hiyo enzi posho imekawia kutoka utasikia wimbo et nipe posho yangu niende kibondo nikapambane nao wauza k... Hapo inataftwa morali tu aicee.
Utakuwa zao la 824kj wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…