Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kama ana chura napenda wimbo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama Sabrina au mama Fahad nimeshamzalisha watoto wawili, mkuu chonde chonde na mke wangu
Watu tushaoa ktamboYule Kwini Vidio wa Kidato kimoja nani anajua alipo?
Nilimpenda sana yule Dada.
Hahahaha yuko wapi naweza kumuona?Watu tushaoa ktambo
kuna ule wimbo kashilikishwa na Mr flavour dha aliipatia vibaya mno huyo dem ni noma Luna mda nahisi alikuwa anatoka na jamaa sio kwa uharisia ulenampendaga chidnma yaani nyimbo zake ye ndo video queen daah ntakesha kumuangalia hachoshi machoni yy na SIMI kwanza jina lake linashawishi
Npo nae hapa ... Nkupe uongee naeHahahaha yuko wapi naweza kumuona?
Npo nae hapa ... Nkupe uongee nae
Si unamzungumzia huyu auWeka picha yake hapa.
Hahahaha huyo ndiye umeoa?Si unamzungumzia huyu au View attachment 864358
The girl you saw in Dimond video was the same girl in Davido video.Damn,every where I go I see the same hoe.Nyimbo za mapenzi, zinavutia kwa maudhui ya mapenzi,hivyo zinaweka maudhui ya mapenzi.
Ndiyo maana wanawekahao video queens. Hao naona ndiyowenye umaarufu kwenye fani.
Snoop Doggy Dogg na 2-Pac katika wimbo wao "All Bout U" walishaimba hili jambo.
"Every other city we go, every other video, no matter where I go, I see the same hooo"
Hizo wamowatoto kuanzia wa Uswazi mpaka wa kishua (Najma Mohammed katika Zali LaMentali comes to mind)
Hivi nilisema nimeoa ... Ayaaa mamaaa nshasahau ... Hivi tulkua tunazungumzia nnHahahaha huyo ndiye umeoa?
Dah [emoji23][emoji23] [emoji23] tulikuwa tupo kwenye mada ya makontena ukasema bado yapo nikawa nakataa nasema yamerudi yalipotoka.Hivi nilisema nimeoa ... Ayaaa mamaaa nshasahau ... Hivi tulkua tunazungumzia nn
Aaahaha nkajua ... Tunaongelea mada ya vichaa maarufu wa huko nchin kwenuDah [emoji23][emoji23] [emoji23] tulikuwa tupo kwenye mada ya makontena ukasema bado yapo nikawa nakataa nasema yamerudi yalipotoka.
Wanaeka hao kwasabab mwanamke ni pamboLeo nimeangalia wimbo wa Diamond uitwao Baila...nikamwangalia video queen wake, nikagundua ndio yule wa kwenye wimbo wa If ya Davido. Dada huyu ametusua careerwise maana hao ni wasanii wakubwa Afrika. (Na ameshafanya kazi na wasanii kadhaa huko dunia ya kwanza)
View attachment 863885
Nqobile Danseur, Video Queen in Davido's If and Diamond's Baila among her many features
Nikaanza kuwaza kazi yao inaongeza value gani kwenye nyimbo? Zaidi ya kuwaona kwenye hizi nyimbo je, wanatufanya tuzipende kwa ajili yao? Kama Diamond angekaa tu kwenye kiti na kuimba tusingeupenda wimbo? Angekosa views milioni 5 alizonazo?
Sasa nataka kuwauliza wanaume na hata wanawake mtakaopenda kujibu; Je umewahi kupenda wimbo fulani kwa sababu ya urembo, uzuri, madoido ama mapozi ya video queen? Mnadhani video queens wanaongeza value kwenye nyimbo?