Nini sababu ya kuwekwa video queens kwenye video za muziki?

Nini sababu ya kuwekwa video queens kwenye video za muziki?

Nafikiri kuna kaukweli flani, napenda wimbo wa Subira ulioimbwa na Kassim Mganga akishirikiana na Christian Bella. Mara nyingi nasikiliza audio lakini sababu inayonifanya nirudi Youtube kuangalia video mara zote ni yule mrembo aliyejifunika kichwa. Ananikumbusha mbali sana.
 
nampendaga chidnma yaani nyimbo zake ye ndo video queen daah ntakesha kumuangalia hachoshi machoni yy na SIMI kwanza jina lake linashawishi
kuna ule wimbo kashilikishwa na Mr flavour dha aliipatia vibaya mno huyo dem ni noma Luna mda nahisi alikuwa anatoka na jamaa sio kwa uharisia ule
 
Weka picha yake hapa.
Si unamzungumzia huyu au
download%20(1).jpg
 
Masikio ni kusikia-'audio' na macho ni kuona-'video',kwa hiyo macho yanatakiwa yaone kitu kizuri na kinachovutia
 
Nyimbo za mapenzi, zinavutia kwa maudhui ya mapenzi,hivyo zinaweka maudhui ya mapenzi.

Ndiyo maana wanawekahao video queens. Hao naona ndiyowenye umaarufu kwenye fani.

Snoop Doggy Dogg na 2-Pac katika wimbo wao "All Bout U" walishaimba hili jambo.

"Every other city we go, every other video, no matter where I go, I see the same hooo"

Hizo wamowatoto kuanzia wa Uswazi mpaka wa kishua (Najma Mohammed katika Zali LaMentali comes to mind)
The girl you saw in Dimond video was the same girl in Davido video.Damn,every where I go I see the same hoe.
 
Rudeboy - reality Yule Dada anayekatika ananimaliza kabisa ......nitaangalia mara kibao video
 
Raha ya pilau kachumbari mkuu!!! nafurahia vile vichupi chupi vya kina nanilia
 
Kihunihuni flani hivi ina rika wanavutika na hawa washiriki, kwa watu wazima flani na famikia zao ni chagamoto kutizama nyimbo hizi ukiwa na watoto na hata wazazi au watu flani mnaoheshimiana. Kuna faida na hasara.
 
Leo nimeangalia wimbo wa Diamond uitwao Baila...nikamwangalia video queen wake, nikagundua ndio yule wa kwenye wimbo wa If ya Davido. Dada huyu ametusua careerwise maana hao ni wasanii wakubwa Afrika. (Na ameshafanya kazi na wasanii kadhaa huko dunia ya kwanza)

View attachment 863885
Nqobile Danseur, Video Queen in Davido's If and Diamond's Baila among her many features

Nikaanza kuwaza kazi yao inaongeza value gani kwenye nyimbo? Zaidi ya kuwaona kwenye hizi nyimbo je, wanatufanya tuzipende kwa ajili yao? Kama Diamond angekaa tu kwenye kiti na kuimba tusingeupenda wimbo? Angekosa views milioni 5 alizonazo?

Sasa nataka kuwauliza wanaume na hata wanawake mtakaopenda kujibu; Je umewahi kupenda wimbo fulani kwa sababu ya urembo, uzuri, madoido ama mapozi ya video queen? Mnadhani video queens wanaongeza value kwenye nyimbo?
Wanaeka hao kwasabab mwanamke ni pambo
 
Back
Top Bottom