Nini sababu ya kuwekwa video queens kwenye video za muziki?

Nafikiri kuna kaukweli flani, napenda wimbo wa Subira ulioimbwa na Kassim Mganga akishirikiana na Christian Bella. Mara nyingi nasikiliza audio lakini sababu inayonifanya nirudi Youtube kuangalia video mara zote ni yule mrembo aliyejifunika kichwa. Ananikumbusha mbali sana.
 
nampendaga chidnma yaani nyimbo zake ye ndo video queen daah ntakesha kumuangalia hachoshi machoni yy na SIMI kwanza jina lake linashawishi
kuna ule wimbo kashilikishwa na Mr flavour dha aliipatia vibaya mno huyo dem ni noma Luna mda nahisi alikuwa anatoka na jamaa sio kwa uharisia ule
 
Masikio ni kusikia-'audio' na macho ni kuona-'video',kwa hiyo macho yanatakiwa yaone kitu kizuri na kinachovutia
 
The girl you saw in Dimond video was the same girl in Davido video.Damn,every where I go I see the same hoe.
 
Rudeboy - reality Yule Dada anayekatika ananimaliza kabisa ......nitaangalia mara kibao video
 
Raha ya pilau kachumbari mkuu!!! nafurahia vile vichupi chupi vya kina nanilia
 
Kihunihuni flani hivi ina rika wanavutika na hawa washiriki, kwa watu wazima flani na famikia zao ni chagamoto kutizama nyimbo hizi ukiwa na watoto na hata wazazi au watu flani mnaoheshimiana. Kuna faida na hasara.
 
Wanaeka hao kwasabab mwanamke ni pambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…