The girl you saw in Dimond video was the same girl in Davido video.Damn,every where I go I see the same hoe.
Leo nimeangalia wimbo wa Diamond uitwao Baila...nikamwangalia video queen wake, nikagundua ndio yule wa kwenye wimbo wa If ya Davido. Dada huyu ametusua careerwise maana hao ni wasanii wakubwa Afrika. (Na ameshafanya kazi na wasanii kadhaa huko dunia ya kwanza)
View attachment 863885
Nqobile Danseur, Video Queen in Davido's If and Diamond's Baila among her many features
Nikaanza kuwaza kazi yao inaongeza value gani kwenye nyimbo? Zaidi ya kuwaona kwenye hizi nyimbo je, wanatufanya tuzipende kwa ajili yao? Kama Diamond angekaa tu kwenye kiti na kuimba tusingeupenda wimbo? Angekosa views milioni 5 alizonazo?
Sasa nataka kuwauliza wanaume na hata wanawake mtakaopenda kujibu; Je umewahi kupenda wimbo fulani kwa sababu ya urembo, uzuri, madoido ama mapozi ya video queen? Mnadhani video queens wanaongeza value kwenye nyimbo?
Mr flavour itakua amemburuzakuna ule wimbo kashilikishwa na Mr flavour dha aliipatia vibaya mno huyo dem ni noma Luna mda nahisi alikuwa anatoka na jamaa sio kwa uharisia ule
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Yule Kwini Vidio wa Kidato kimoja nani anajua alipo?
Nilimpenda sana yule Dada.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Yule Kwini Vidio wa Kidato kimoja nani anajua alipo?
Nilimpenda sana yule Dada.
Acha mkuu sijui nini eti,uli wimbo nilikuwa nikuridishia kisa tu yeteYule Kwini Vidio wa Kidato kimoja nani anajua alipo?
Nilimpenda sana yule Dada.
Acha mkuu sijui nini eti,uli wimbo nilikuwa nikuridishia kisa tu yete
Wimbo wa perfect combo ndo nilimfahamu vyema,mpka nikafukunyua habari zake na flovour,ololufe n.k nikabaki nasifia uumbaji tunampendaga chidnma yaani nyimbo zake ye ndo video queen daah ntakesha kumuangalia hachoshi machoni yy na SIMI kwanza jina lake linashawishi
nlisomaga kwenye gazeti la kibongo wanasema akizaliwa, akiwa haoni hadi alipoombewa kanisani ndo akawa anaona sijui ni kweli au walinilisha matango poriWimbo wa perfect combo ndo nilimfahamu vyema,mpka nikafukunyua habari zake na flovour,ololufe n.k nikabaki nasifia uumbaji tu
Yule binti ni balaaMkuu yule demu kiboko hata kuandika huku yupo kichwani mwako lazima utetemeke kama hivi.
Yule binti ni balaa
Ilikuwa chuma ya mr flovournlisomaga kwenye gazeti la kibongo wanasema akizaliwa, akiwa haoni hadi alipoombewa kanisani ndo akawa anaona sijui ni kweli au walinilisha matango pori
demu mkali sana YuleIlikuwa chuma ya mr flovour
Chukulia wimbo kama Masogange wa Belle 9 , je ile video ingekuwa gumzo kama asingemshirikisha Agnes Gelard?Leo nimeangalia wimbo wa Diamond uitwao Baila...nikamwangalia video queen wake, nikagundua ndio yule wa kwenye wimbo wa If ya Davido. Dada huyu ametusua careerwise maana hao ni wasanii wakubwa Afrika. (Na ameshafanya kazi na wasanii kadhaa huko dunia ya kwanza)