Nini sababu ya kuwekwa video queens kwenye video za muziki?

Nini sababu ya kuwekwa video queens kwenye video za muziki?

Nimekosa Video yake, lakini kuna video bongo yenye vixen wazuri na wengi zaidi ya hii!!?.. Ukiacha ya Bizman yenye mix

The girl you saw in Dimond video was the same girl in Davido video.Damn,every where I go I see the same hoe.

Ulimsikia Snoop Dogg alivyokuwa analalamika katika huo wimbo wa 2Pac?
 
  • Thanks
Reactions: Gut
Binafsi yangu video Queens ndio sababu kuu kwangu kwa asilimia 90 ya kutizama music video.
 
Leo nimeangalia wimbo wa Diamond uitwao Baila...nikamwangalia video queen wake, nikagundua ndio yule wa kwenye wimbo wa If ya Davido. Dada huyu ametusua careerwise maana hao ni wasanii wakubwa Afrika. (Na ameshafanya kazi na wasanii kadhaa huko dunia ya kwanza)

View attachment 863885
Nqobile Danseur, Video Queen in Davido's If and Diamond's Baila among her many features

Nikaanza kuwaza kazi yao inaongeza value gani kwenye nyimbo? Zaidi ya kuwaona kwenye hizi nyimbo je, wanatufanya tuzipende kwa ajili yao? Kama Diamond angekaa tu kwenye kiti na kuimba tusingeupenda wimbo? Angekosa views milioni 5 alizonazo?

Sasa nataka kuwauliza wanaume na hata wanawake mtakaopenda kujibu; Je umewahi kupenda wimbo fulani kwa sababu ya urembo, uzuri, madoido ama mapozi ya video queen? Mnadhani video queens wanaongeza value kwenye nyimbo?

Aisee mie nimependa icho kijungu, Unafyonza kijambio hapo saa nzima
 
Wimbo wa perfect combo ndo nilimfahamu vyema,mpka nikafukunyua habari zake na flovour,ololufe n.k nikabaki nasifia uumbaji tu
nlisomaga kwenye gazeti la kibongo wanasema akizaliwa, akiwa haoni hadi alipoombewa kanisani ndo akawa anaona sijui ni kweli au walinilisha matango pori
 
Jamani wanaume udhaifu wetu upo kwa Mwanamke. Angalia advert zote 90% zina picha ya Mwanamke Ili kukuvutia wewe rijali. Hata baa, kwenye ndege hadi Magu aliwasifia wale wahabeshi wa Ethiopian airline. Kwa hiyo ni Chachandu
 
Leo nimeangalia wimbo wa Diamond uitwao Baila...nikamwangalia video queen wake, nikagundua ndio yule wa kwenye wimbo wa If ya Davido. Dada huyu ametusua careerwise maana hao ni wasanii wakubwa Afrika. (Na ameshafanya kazi na wasanii kadhaa huko dunia ya kwanza)

View attachment 863885
Nqobile Danseur, Video Queen in Davido's If and Diamond's Baila among her many features

Nikaanza kuwaza kazi yao inaongeza value gani kwenye nyimbo? Zaidi ya kuwaona kwenye hizi nyimbo je, wanatufanya tuzipende kwa ajili yao? Kama Diamond angekaa tu kwenye kiti na kuimba tusingeupenda wimbo? Angekosa views milioni 5 alizonazo?

Sasa nataka kuwauliza wanaume na hata wanawake mtakaopenda kujibu; Je umewahi kupenda wimbo fulani kwa sababu ya urembo, uzuri, madoido ama mapozi ya video queen? Mnadhani video queens wanaongeza value kwenye nyimbo?
Chukulia wimbo kama Masogange wa Belle 9 , je ile video ingekuwa gumzo kama asingemshirikisha Agnes Gelard?
 
bila kusahau ana asili ya SOUTH AFRIKA HUYO VIDEO QUEEN WA BAILA NA IF
 
Back
Top Bottom