Nini sababu ya Polisi kujihusisha na vitendo vya wizi?

Mishahara bongo ni modogo sana ndiyo inayochochea rushwa,wizi n.k unajua police pesa anayochukua(taking home)baada ya makato,na ana familia ujue,ana watoto wanasoma ujue na ana watu wanaomtegemea.
 
Hata ungeajiri nani kwa mishahara hii sioni suruhisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…