Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
tukaribishe hata na maji mkuu ili tuchangie vizuriKaribuni wataalamu
Tuma namba pm nikutumie buku 5tukaribishe hata na maji mkuu ili tuchangie vizuri
Au ya wakala usitume namba ya simu maana unahisi nakudanganyatukaribishe hata na maji mkuu ili tuchangie vizuri
Limeisha hili mkuu acha niweke namba hapa hapaTuma namba pm nikutumie buku 5
Wakala mbali nataka kulipa songesha tajiri nishaweka nambaAu ya wakala usitume namba ya simu maana unahisi nakudanganya
PoaLimeisha hili mkuu acha niweke namba hapa hapa
0734568712 Jina linatoka john kongoro
Ndo nini mkuu fafanuaMelanin modification
HaaaaaaaaaahWanapaka hiyo
Siyo mvi wanapaka
Huenda ni mambo ya teknolojia, mf. Kula vyakula visivyo na uhalisia, vimekuzwa kwa madawa.Wakuu nadhani mmekuwa mashahidi.
Huku mtaani vijana wengi wameota mvi kama pamba. Wataalamu hii inasababishwa na nini inakuwaje kijana wa miaka 25 amejaza mvi kichwani kumzidi hadi baba yake? Jaribuni kuchunguza mtaona
Ndo ujue hivoHaaaaaaaaaah
Nahisi hili pia linachangia maana mjini ndo kuna idadi kubwa ya vijana wenye mviHuenda ni mambo ya teknolojia, mf. Kula vyakula visivyo na uhalisia, vimekuzwa kwa madawa.
NoNdo nini mkuu fafanua
Kwa Msaada wa Google translate: 👇👇Ndo nini mkuu fafanua