I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
mkuu umeachika?Kwa binaadamu wote wapo sawa tu wanawake na wanaume hapa kwa wanawake mpaka wajipambe pambe.. wajirembe ila hawana uzuri wowote.. si unaona mifano ya picha hawajajipamba ila wana uzuri wa kumwaga.. hawa wanawake wa ki-binaadamu bila makeup na kujibinua hawanogi
ni vile tuu binadamu huvaa nguo, hao wanyama wapo kiuhalisia hawavai nguo, hawaogi, hawapigi makeup. Binadamu wasingevaa nguo mbona wa kike titi zingewatisha watu na wa kiume bado tuu wangwewazidi kimuonekano na mvuto.Sijui sababu ni nini inapelekea jambo hilo,, kwa sababu nimejaribu sana kuangalia wanyama wengi, wadudu, ndege na hata samaki; jinsia ya kiume huwa na mionekano mizuri kuliko jinsia ya kike. Labda isipokuwa kwetu binadamu na nyoka hatutofautiani sana baina yetu.
Mfano wa picha katika viumbeView attachment 2095728
View attachment 2095729View attachment 2095730View attachment 2095731
Ni swali alilouliza zuri kisayansi halina uhusiano na jinsia ya mtoa madaSamahani naomba kujua jinsi ya mtoa mada?
Hadithi hizi kasimulie watoto wa lakwanza sio humuNdo ujue kwamba kwanini Adam alivyosema kuwa Hawa ndo alimdanganya kwanini Mungu alichukizwa na lile jibu, Yaani anajua kuwa Mwanaume ndo alikuumba kwa ukamilifu wote then Leo uje useme ubavu wako ndo umekudanganya ule, Asee Mungu alimdharau sana Adam, So wanaume tunachotakiwa kwanza ni kujikubali na kujipa uthamani, Acheni kuzitukuza hizi Pisi kisa papuchi... Tunajiaibisha kwa Mungu.
Sent from my TECNO CE9 using JamiiForums mobile app
Hakuna sayansi ni jinsi tu akili yake ilivyomshawishi vitu vha kuvutiwa navyoNi swali alilouliza zuri kisayansi halina uhusiano na jinsia ya mtoa mada
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Aisee jinsi yangu ya nini? Alafu sina siku hizi maana ngumu kwenye kufua.Samahani naomba kujua jinsi ya mtoa mada?
Kuna female, male na otherAisee jinsi yangu ya nini? Alafu sina siku hizi maana ngumu kwenye kufua.
Hakuna usawa wa mwanaume na mwanamke, kuanzia mifumo ya mwili mpka muonekano, ni tofaut kabsa, ni vibaya sana kuwalinganishwa watu wa jinsia tofautKwa binaadamu wote wapo sawa tu wanawake na wanaume hapa kwa wanawake mpaka wajipambe pambe.. wajirembe ila hawana uzuri wowote.. si unaona mifano ya picha hawajajipamba ila wana uzuri wa kumwaga.. hawa wanawake wa ki-binaadamu bila makeup na kujibinua hawanogi
Kama hujajiuliza hili swali basi upo duniani kama mpita njia unaona mpaka amekupa mifano .. huoni jogoo ana rangi nzuri kushinda mteteaHakuna sayansi ni jinsi tu akili yake ilivyomshawishi vitu vha kuvutiwa navyo
Tofauti ya mwanaumr na mwanmke ni chromosome moja tuu ambayo inacontrol sehemu za siri. Hiyo ndio hileta tofauti ya kimuonekano ndio maana mwanamke akiwekewa hormone za kiume anaweza ota ndevu na akawa na misuli na mwanaume akipoteza pumbu zote anakuwa kama mwanamkeHakuna usawa wa mwanaume na mwanamke, kuanzia mifumo ya mwili mpka muonekano, ni tofaut kabsa, ni vibaya sana kuwalinganishwa watu wa jinsia tofaut
Unaongea kupitia vitabu vya uongo vya dini . In short kazi kubwa ya jinsia ya kiume ulimwenguni ni kuwapa wanawake minga na kufanya shuffling ya genes . In short kiumbe cha kwanza duniani ni viumbe vya kike.Jinsia KE'' iliumbwa kwa ajili ya kukidhi hisia na matamanio ya ME"
Jinsia KE'' iliumbwa kwa ajili ya usaidizi kwa ME"
Jinsia KE'' iliumbwa kwa ajili ya kukidhi uzaliano na kuendeleza uzao toka kwa mbegu za ME"
Hivyo ni kawaida kwa ME kumtamani KE, ili apate kutimiza sheria hizo ambazo ndizo Agizo kuu kwa ME'' ili ktk ulimwengu na maisha ya walimwengu wazidi kusurvive.
Kuna wale washenzi wa kimagharibi, ulaya na Asia wanajaribu kupindisha sheria hii kwa kuleta mahusiano ya Jinsia moja na uzao wa wanyama bila ya muingiliano wa ME&KE mfano hayo makuku yenu ya kisasa yanataga bila jogoo na mnakula mayai na nyama zake, hiv hamjui kuwa mnakufuru sheria za uumbaji.
Naninyi mnaosapport harakat za usodoma na ugomora hamuoni kuwa mnakufuru sheria za uumbaji, hiv dunia ijayo itakuwa na viumbe gani kama mnagoma kutii sheria za ME&KE?.
uzuri wao ungeishia mwisho miaka 15ni vile tuu binadamu huvaa nguo, hao wanyama wapo kiuhalisia hawavai nguo, hawaogi, hawapigi makeup. Binadamu wasingevaa nguo mbona wa kike titi zingewatisha watu na wa kiume bado tuu wangwewazidi kimuonekano na mvuto.