Nini sababu ya viumbe vingi vya kiume vinavutia kimuonekano kuliko vya kike?

I am Groot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,929
Reaction score
10,747
Sijui sababu ni nini inapelekea jambo hilo,, kwa sababu nimejaribu sana kuangalia wanyama wengi, wadudu, ndege na hata samaki; jinsia ya kiume huwa na mionekano mizuri kuliko jinsia ya kike. Labda isipokuwa kwetu binadamu na nyoka hatutofautiani sana baina yetu.

Mfano wa picha katika viumbe
5969f86bdd60ef1fd9c20a1ca2ad123f.png

8346a72b0ad9e25fbf1cae5878b15bb0.png
7ecd87fc3c85f33e973c6485f1723b07.png
401051b43bae553f4e364a0c215fc27f.png
 
Kwa binaadamu wote wapo sawa tu wanawake na wanaume hapa kwa wanawake mpaka wajipambe pambe.. wajirembe ila hawana uzuri wowote.. si unaona mifano ya picha hawajajipamba ila wana uzuri wa kumwaga.. hawa wanawake wa ki-binaadamu bila makeup na kujibinua hawanogi
 
Ndo ujue kwamba kwanini Adam alivyosema kuwa Hawa ndo alimdanganya kwanini Mungu alichukizwa na lile jibu, Yaani anajua kuwa Mwanaume ndo alikuumba kwa ukamilifu wote then Leo uje useme ubavu wako ndo umekudanganya ule, Asee Mungu alimdharau sana Adam, So wanaume tunachotakiwa kwanza ni kujikubali na kujipa uthamani, Acheni kuzitukuza hizi Pisi kisa papuchi... Tunajiaibisha kwa Mungu.

Sent from my TECNO CE9 using JamiiForums mobile app
 
Ndo ujue kwamba kwanini Adam alivyosema kuwa Hawa ndo alimdanganya kwanini Mungu alichukizwa na lile jibu, Yaani anajua kuwa Mwanaume ndo alikuumba kwa ukamilifu wote then Leo uje useme ubavu wako ndo umekudanganya ule, Asee Mungu alimdharau sana Adam, So wanaume tunachotakiwa kwanza ni kujikubali na kujipa uthamani, Acheni kuzitukuza hizi Pisi kisa papuchi... Tunajiaibisha kwa Mungu.
 
Sijui sababu ni nini inapelekea jambo hilo,, kwa sababu nimejaribu sana kuangalia wanyama wengi, wadudu, ndege na hata samaki; jinsia ya kiume huwa na mionekano mizuri kuliko jinsia ya kike. Labda isipokuwa kwetu binadamu na nyoka hatutofautiani sana baina yetu.

Mfano wa picha katika viumbeView attachment 2095728
View attachment 2095729View attachment 2095730View attachment 2095731
ni vile tuu binadamu huvaa nguo, hao wanyama wapo kiuhalisia hawavai nguo, hawaogi, hawapigi makeup. Binadamu wasingevaa nguo mbona wa kike titi zingewatisha watu na wa kiume bado tuu wangwewazidi kimuonekano na mvuto.
 
Kwasababu majike ndio yanaamua nani wakuzaa naye kwahiyo hichagua wenye urembo zaidi kwahiyo wale wasiokuwa na urembo hawawezi kukubaliwa kuzaa kwahiyo genes zao hafifu haziwezi rithiwa na wale wenye urembo wakizaa genes zao zikirithiwa kila kizazi kinapata mutation kama inaongeza urembo inazidi kuendelea kupendwa kwahiyp urembo huongezeka nimeeleza kwa ufupi tuu

hata kwa binadamu wanawake ndio huamua kuzaa na nani kama sio walibakwa. Ukiona mwanamke amechagua kuzaa na mwanaume asuyenamvuto basi jua huyo mwanamke dishi limeyumba au amegeuka fisi ili amtawale mwanaume

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Ndo ujue kwamba kwanini Adam alivyosema kuwa Hawa ndo alimdanganya kwanini Mungu alichukizwa na lile jibu, Yaani anajua kuwa Mwanaume ndo alikuumba kwa ukamilifu wote then Leo uje useme ubavu wako ndo umekudanganya ule, Asee Mungu alimdharau sana Adam, So wanaume tunachotakiwa kwanza ni kujikubali na kujipa uthamani, Acheni kuzitukuza hizi Pisi kisa papuchi... Tunajiaibisha kwa Mungu.

Sent from my TECNO CE9 using JamiiForums mobile app
Hadithi hizi kasimulie watoto wa lakwanza sio humu

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Jinsia KE'' iliumbwa kwa ajili ya kukidhi hisia na matamanio ya ME"

Jinsia KE'' iliumbwa kwa ajili ya usaidizi kwa ME"

Jinsia KE'' iliumbwa kwa ajili ya kukidhi uzaliano na kuendeleza uzao toka kwa mbegu za ME"

Hivyo ni kawaida kwa ME kumtamani KE, ili apate kutimiza sheria hizo ambazo ndizo Agizo kuu kwa ME'' ili ktk ulimwengu na maisha ya walimwengu wazidi kusurvive.

Kuna wale washenzi wa kimagharibi, ulaya na Asia wanajaribu kupindisha sheria hii kwa kuleta mahusiano ya Jinsia moja na uzao wa wanyama bila ya muingiliano wa ME&KE mfano hayo makuku yenu ya kisasa yanataga bila jogoo na mnakula mayai na nyama zake, hiv hamjui kuwa mnakufuru sheria za uumbaji.

Naninyi mnaosapport harakat za usodoma na ugomora hamuoni kuwa mnakufuru sheria za uumbaji, hiv dunia ijayo itakuwa na viumbe gani kama mnagoma kutii sheria za ME&KE?.
 
Kwa binaadamu wote wapo sawa tu wanawake na wanaume hapa kwa wanawake mpaka wajipambe pambe.. wajirembe ila hawana uzuri wowote.. si unaona mifano ya picha hawajajipamba ila wana uzuri wa kumwaga.. hawa wanawake wa ki-binaadamu bila makeup na kujibinua hawanogi
Hakuna usawa wa mwanaume na mwanamke, kuanzia mifumo ya mwili mpka muonekano, ni tofaut kabsa, ni vibaya sana kuwalinganishwa watu wa jinsia tofaut
 
Tofauti ya mwanaumr na mwanmke ni chromosome moja tuu ambayo inacontrol sehemu za siri. Hiyo ndio hileta tofauti ya kimuonekano ndio maana mwanamke akiwekewa hormone za kiume anaweza ota ndevu na akawa na misuli na mwanaume akipoteza pumbu zote anakuwa kama mwanamke

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Jinsia KE'' iliumbwa kwa ajili ya kukidhi hisia na matamanio ya ME"

Jinsia KE'' iliumbwa kwa ajili ya usaidizi kwa ME"

Jinsia KE'' iliumbwa kwa ajili ya kukidhi uzaliano na kuendeleza uzao toka kwa mbegu za ME"

Hivyo ni kawaida kwa ME kumtamani KE, ili apate kutimiza sheria hizo ambazo ndizo Agizo kuu kwa ME'' ili ktk ulimwengu na maisha ya walimwengu wazidi kusurvive.

Kuna wale washenzi wa kimagharibi, ulaya na Asia wanajaribu kupindisha sheria hii kwa kuleta mahusiano ya Jinsia moja na uzao wa wanyama bila ya muingiliano wa ME&KE mfano hayo makuku yenu ya kisasa yanataga bila jogoo na mnakula mayai na nyama zake, hiv hamjui kuwa mnakufuru sheria za uumbaji.

Naninyi mnaosapport harakat za usodoma na ugomora hamuoni kuwa mnakufuru sheria za uumbaji, hiv dunia ijayo itakuwa na viumbe gani kama mnagoma kutii sheria za ME&KE?.
Unaongea kupitia vitabu vya uongo vya dini . In short kazi kubwa ya jinsia ya kiume ulimwenguni ni kuwapa wanawake minga na kufanya shuffling ya genes . In short kiumbe cha kwanza duniani ni viumbe vya kike.

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
ni vile tuu binadamu huvaa nguo, hao wanyama wapo kiuhalisia hawavai nguo, hawaogi, hawapigi makeup. Binadamu wasingevaa nguo mbona wa kike titi zingewatisha watu na wa kiume bado tuu wangwewazidi kimuonekano na mvuto.
uzuri wao ungeishia mwisho miaka 15
 
Back
Top Bottom