Nini sababu.ya.wakala mdogo kugawana pesa na wakala mkuu kwenye mobile money business

Nini sababu.ya.wakala mdogo kugawana pesa na wakala mkuu kwenye mobile money business

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2015
Posts
2,805
Reaction score
3,640
Nini manitiki ya wakala mdogo wa pesa anayeanza biadhara kuwa attached.ana.wakala mkuu na.pesa akipata anapunjwa anagawana.na.wakaala.mkuu.

Kazi ya.msingi.ya.wakala.mkuu.ni.nini.kwenye mobile.money.business
 
Nini manitiki ya wakala mdogo wa pesa anayeanza biadhara kuwa attached.ana.wakala mkuu na.pesa akipata anapunjwa anagawana.na.wakaala.mkuu.

Kazi ya.msingi.ya.wakala.mkuu.ni.nini.kwenye mobile.money.bisiness
Ni unyonyaji tu
 
Unyonyaji kwa.faida.ya.nani.kwanini.makampuni yasigawane pesa na wakala.mdogo kuliko kuweka.chawa wakala.mkuu.

Ukizingatia.mawakala.wakuu.wengi.ni.wafanyakazi.wa haya makampuni ya.simu
 
Mwenye kufahamu kazi ya maana na.jasho analotoa.wakala.mkuu hasa its a technology based business. Atusaidie.

Ninategemea vitengo digital services and social media za makampuni ya.simu waje na maelezo ya kutoshaa.na.data.
 
Jerry silaa waziri tunaomba majibu tafadhali hii ni dhuluma ya wazi. Amendment ifanyike watu waone faida
 
Jaman wateja wakitoa pesa kwa Lipa za Airtelmoney commission n ndogo sana yan,,,,mteja akitoa laki moja unapata commission shs 330.
 
Ni utapeli kama utapeli mwingine tu huku duniani. wametengeneza mfumo wa kinyonyaji na wafaidika ni wafanyakazi wa hizi kampuni za simu utakuta wao ndio wamiliki wa wakala mkubwa.
 
Mkuu,Kazi ya Wakala Mkuu ni kumpatia wakala Mdogo Float.Makampuni ya SIMU hayatumii PESA zao kama ambavyo Mabenki yatakiwa kuwa na RESERVE.Yenyewe yanatoa Mfumo tu wa Miamala ila Mtaji unaozunguka ni wa mawakala wakuu.Ndio maana mawakala wakuu huwa wanapambana kuweka FLOAT kwa mawakala wadogo wengi iwezekanavyo.
 
Matokeo yake wateja wanakuja na mbinu za kutoa hela huku.wanatuma hela kupunguza makato.

Wakala mdogo hawezi kuweka float mwenyewe.
 
Mkuu,Kazi ya Wakala Mkuu ni kumpatia wakala Mdogo Float.Makampuni ya SIMU hayatumii PESA zao kama ambavyo Mabenki yatakiwa kuwa na RESERVE.Yenyewe yanatoa Mfumo tu wa Miamala ila Mtaji unaozunguka ni wa mawakala wakuu.Ndio maana mawakala wakuu huwa wanapambana kuweka FLOAT kwa mawakala wadogo wengi iwezekanavyo.
Umeijibu vyema sana
 
Back
Top Bottom