Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,805
- 3,640
Ni unyonyaji tuNini manitiki ya wakala mdogo wa pesa anayeanza biadhara kuwa attached.ana.wakala mkuu na.pesa akipata anapunjwa anagawana.na.wakaala.mkuu.
Kazi ya.msingi.ya.wakala.mkuu.ni.nini.kwenye mobile.money.bisiness
Inabidi tutumie nguvu kubwa sana ili kuuelewaMh huu mwandiko hata pididy ana unafuu
Airtel kwenye upande wa laini za lipa wamefeli sana.Jaman wateja wakitoa pesa kwa Lipa za Airtelmoney commission n ndogo sana yan,,,,mteja akitoa laki moja unapata commission shs 330.
Umeijibu vyema sanaMkuu,Kazi ya Wakala Mkuu ni kumpatia wakala Mdogo Float.Makampuni ya SIMU hayatumii PESA zao kama ambavyo Mabenki yatakiwa kuwa na RESERVE.Yenyewe yanatoa Mfumo tu wa Miamala ila Mtaji unaozunguka ni wa mawakala wakuu.Ndio maana mawakala wakuu huwa wanapambana kuweka FLOAT kwa mawakala wadogo wengi iwezekanavyo.
Leo mteja katoa kwenye Airtel Lipa shs elfu ishirini na tisa nimepata commission shs 145Airtel kwenye upande wa laini za lipa wamefeli sana.