Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Tundu Lissu kaumaliza mbuyu huu mpapai haumshindiKuhusu tundu kuwa raisi Naomba tusahau [emoji23][emoji23][emoji23]
Apa sasa ndio mamba na kenge wata julikana!Crisis in a Banana Republic.
Utaangaika na Tundu utakufa utamuacha.Kuhusu tundu kuwa raisi Naomba tusahau [emoji23][emoji23][emoji23]
Yale yale tatizo mnajimilikisha nchi ,hii ni nchi yetu wote! Hata wewe ni haki yako kama unakidhi vigezo unaweza kuwa our no 1,na pili wewe sio msemaji wa Lisu au watanzaniaKuhusu tundu kuwa raisi Naomba tusahau [emoji23][emoji23][emoji23]
lazima atavunja kila waziri anapaswa kula kiapo mbele ya raisi, huwezi ukatumia kiapo kilichopita kwa rais mpya.Mama kama anataka kweli ajijengee imani kwa Watanzania wengi, alivunje tu hilo Baraza lililojaa wanafiki, wachumia tumbo na waimba mapambio.
Na Majaliwa asiachwe kuendeleza uongo wake! Naye abakie tu na Ubunge wake.
Kama hoja ni kuwa hakuna serikali mpya inayoingia nini logic ya Baraza kuvunjika anapojiuzuru Waziri mkuu au akijiuzuru Waziri mkuu Kuna serikali mpya inaingia?Makamu wa raisi ni part and parcel ya presidency Sheria inatambua John na Samia ndio waliounda baraza kwa hivyo halivunjwi bali anarithi .........
but as days goes by anaweza kulibadirisha atakavyo akishauriana na makamu wake......ie nyofoa huyu weka yule nk....lakini hawezi kulivunja lote kwa wakati mmoja kwa kuwa hakuna serekali mpya hapo inayoingia madarakani ni ile ile
Jibu lipigwe mstari hililazima atavunja kila waziri anapaswa kula kiapo mbele ya raisi, huwezi ukatumia kiapo kilichopita kwa rais mpya.
Na Kama anaapishwa kwenda kuwa Rais mwenye mamlaka kamili vipi soon baada ya kuapishwa akitangaza kulivunja baraza lote la mawaziri?Makamu wa raisi ni part and parcel ya presidency Sheria inatambua John na Samia ndio waliounda baraza kwa hivyo halivunjwi bali anarithi .........
but as days goes by anaweza kulibadirisha atakavyo akishauriana na makamu wake......ie nyofoa huyu weka yule nk....lakini hawezi kulivunja lote kwa wakati mmoja kwa kuwa hakuna serekali mpya hapo inayoingia madarakani ni ile ile
Mekonnen kafufuka anza kushangiliaKuhusu tundu kuwa raisi Naomba tusahau [emoji23][emoji23][emoji23]