Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Usinifanye nidanganye ili niipate hiyo zawadiMhhhhhhhh!!!! We haya nidanganye tu.......Edmund au?.....lingekuwapo mojawapo Kati ya Hilo walahi ningekupa zawadi ya ushindi.....lol
Hebu nidokeze hilo jina ambalo anatumia maana nimemmiss sanaYaani utafiti toka atangaze anaoa yaani akapotea kabisa ila mimi nahisi yumo humu humu ila itakuwa kwa jina lingine[emoji2]
Sure ipo mkuu sema yeye ni ed edd n eddy ila too bad we have the same avatarHebu jaribu kuisearch kaka
Imeandikwa ed n edd n eddy
Sema huyo jamaa wa juzi juzi tuSure ipo mkuu sema yeye ni ed edd n eddy ila too bad we have the same avatar
Uzi umenoga huu....japo sijamuona Faizafoxy pande hizi[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Akija atakuja kukosoa mpaka basi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Faizafoxy akija humu atafanya collection ya post kuanzia ya kwanza hadi ya mwishoπππ
How i wish aje, natamani nijue wat foxy stands forπ³π³
Kweli jf kubwa usingenitajia nisingemjuaSema huyo jamaa wa juzi juzi tu
JF ni kubwa sana. Sema nini asikutishe huyoKweli jf kubwa usingenitajia nisingemjua
Ndo ujiandae hivyoAkija atakuja kukosoa mpaka basi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
The Last Don, umenikumbusha hii Novel mkuu.
Characters kama Don Clurecuzio, Cross (mtoto wa Pippi aliyeuwawa na Dante, Dante ambaye alikuja kudedishwa na Cross mwenyewe).
Kulikuwa na dada mkali sana ambaye nilishindwa ku-imagine uzuri wake, Athena Aquitane.
Moja ya sentence maarufu niliyotoka nayo ni "The most important thing in life is to earn your bread."
Daah hongera na pole...Joshua ni mtu wa vita ck zote za maisha yako,,,so ujue mwanao atakuwa mtu wa mapito mazito japo atatoboa. ANNA ni aina ya wanawake wenye mapitoazito sana japo nao ni wacha Mungu na wengine ni makahaba 1/2. Ni uchaguzi mzuri japo...
Ngoja niendelee kuguess tu itakuwa Edison. .......hahhahah wewe danganya tu si umeshakataaa halipo pale basi zawadi ya ushindi ishakupita....Usinifanye nidanganye ili niipate hiyo zawadi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125]π³π³ faiza will always be foxy
ππ
Nimeshajiandaa[emoji123] [emoji123] [emoji123] mzima lakini The name[emoji15] [emoji15] [emoji15] Leo nimeweza[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ndo ujiandae hivyo
Mimi mzima