Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

On my side nikiwa between 18 - 20 mzee wangu alikua na tabia ya kunituma sanaa kwenye biz zake nimsaidie kufatilia mambo mambo flan either maagizo au kupeleka vi hela hela flan.

Kufike kule maeneo ya kazi/biashara wafanyakazi wa mzee wakawa wanasema " Boss Mtoto huyo amekuja "....hyo ni sababu nilikua na hang around na mzee sanaa during weekends na some few days in holidays.....

Nikiwa bado kijana mdogo moyoni ikanijenga and i was like talking in my heart " nataka nije nipambane na life nimzidi hata baba " meaning niwe senior kuliko yeye.

Hata nikiwa high school i always like projected my self being this wealthy businessman some day hence " Senior Boss " halikua mbali na fikra zangu. Kuna kipindi nyuma sanaa unakuta sina hela yeyote basi tu i talk, walk and see my self like a boss...iko hvyo tu.

This day i cant say i have soo much but that positive energy keeps me motivated and keeps me aspiring for more.
 
Uzi umenoga huu....japo sijamuona Faizafoxy pande hizi[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Faizafoxy akija humu atafanya collection ya post kuanzia ya kwanza hadi ya mwisho😀😀😀

How i wish aje, natamani nijue wat foxy stands for😳😳
 
Faizafoxy akija humu atafanya collection ya post kuanzia ya kwanza hadi ya mwisho😀😀😀

How i wish aje, natamani nijue wat foxy stands for😳😳
Akija atakuja kukosoa mpaka basi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Bas mm ilikuwa hv

Pindi nipo O LEVEL nikuwa natokewa na MAJIPU SANA USONI na ilikuwa mara kwa mara mwana mmoja alikuwa kidogo katuzd age tulikuwa nae class alikuwa ni BACK BANCHER basi siku moja kaniita mbele ya wana wa clasa halaf akaniambia WE DOGO UNAKUNYWA GONGO MBONA USO UMEHARIBIKA DAILY basi wakawa wananiiya GONGO MAN cku nafungua account ya JF nlikua nmetoka kucheki Movie ya WHITE HOUSE DOWN kwa walio iona mhusika mkuu ni jamie foxx xo m nikafanya yangu nikaungaunga ikatokea username
 
Mimi Jina langu nimelichagua baada ya kufikiria sana jinsi Tanzania ilivyo na opportunity nyingi lkn bado wananchi wake hawanufaiki. Ukitaka kuamini angalia jinsi wachina wanavyong'ang'ania nchi yetu na hawatakaa waondoke. Na kila mgeni anaekuja Tanzania anarudi kwao akiwa ameneemeka. Natamani na sisi wazawa tupate nafasi nzuri ya kutumia taifa letu vizuri na kuwa wanufaika wakubwa.
 
The Last Don, umenikumbusha hii Novel mkuu.

Characters kama Don Clurecuzio, Cross (mtoto wa Pippi aliyeuwawa na Dante, Dante ambaye alikuja kudedishwa na Cross mwenyewe).

Kulikuwa na dada mkali sana ambaye nilishindwa ku-imagine uzuri wake, Athena Aquitane.

Moja ya sentence maarufu niliyotoka nayo ni "The most important thing in life is to earn your bread."

Mkuu Raimundo Katika Author ambao nimesoma kazi zao wakielezea Mafia stories ambazo zilijaa tele vijiweni kipindi hicho hakika sijapata wa kumfikia Mario Puzo.Nimesoma Godfather I and II,The Sicilian,Omerta na Fools Die...sasa ukiangalia the way Mario Puzo anavyowatengeneza characters wake na kufit katika area wanayopewa unasoma novels mpaka unahisi unamjua huyo character. kama ulivyomulezea huyo Mrembo Hollywood actress "Athena Aquitane" ambae alikuwa mpenzi wa Cross,ni sawa na mimi nimesoma Fools die Miaka takribani kumi iliyopita lakini ukiniambia nikuelezee wasifu wa Main character (Merlin) katika Fools die nina kumbukumbu nae as if ni mshikaji flan niliyewahi kukutana nae kitaa.Nimesoma hizo novels kiasi ambacho nilikuwa nikipiga stori kitaa washikaji wanakuwa kama wanaangalia Mafian Movies aisee.
 
Daah hongera na pole...Joshua ni mtu wa vita ck zote za maisha yako,,,so ujue mwanao atakuwa mtu wa mapito mazito japo atatoboa. ANNA ni aina ya wanawake wenye mapitoazito sana japo nao ni wacha Mungu na wengine ni makahaba 1/2. Ni uchaguzi mzuri japo...

Japo tena? Amen though
 
Back
Top Bottom